Recent content by victormbishi

  1. V

    JamiiForums Tanzania Shemeji kaanza mazoea mabaya baada ya kuona Joka langu

    Kwel tz tuna vijana wa hovyo, yaani may mosi badala ya kujadili kima cha chini kimeongezwa asilimia ngapi, tunajadili MKOJANI
  2. V

    JamiiForums Tanzania Mimi natafuta mchumba nipo serious

    Tusiokuwa Mahand some tunacoment wapi??
  3. V

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Vifuatavyo vinauzwa, mmiliki anahamia nchi nyingine

    Mzungu alikuwa anapikia Mafuta ya Kupima. Duhh huyo Mzungu kweli BAHARIA
  4. V

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya Upinzani?

    Col kinana, lt col jk na marehemu Capt komba ni wapinzani siyo??
  5. V

    JamiiForums Tanzania Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

    Uwakili ni kazi kama zilivyo kazi zingingine, ni kazi kama udaktari, unurse n.k huwezi mzuia daktari asitibu kisa anayetibiwa ni Jambazi, yy atafanya linalomuhusu basi. Wakili atafanya kazi aliyopewa na mteja (client) wake.
  6. V

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Tanzania wajue sio kila jambo linalohusu usalama wa nchi ni la kutolewa ufafanuzi kwa wanasiasa

    Hapana mkuu. Ila Alikopy na kupaste Jina Langu
  7. V

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Tanzania wajue sio kila jambo linalohusu usalama wa nchi ni la kutolewa ufafanuzi kwa wanasiasa

    M2 hata kusoma kipengele, nan aelewe Pumba zako
  8. V

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Tanzania wajue sio kila jambo linalohusu usalama wa nchi ni la kutolewa ufafanuzi kwa wanasiasa

    Kwendraaaaaaaaaaaa huko kawahadithie wajinga wenzio huo upumbavu wako. co cc tunaojielewa
  9. V

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

    Kwahiyo tuseme Clouds tv wamekula hela ya bure...
  10. V

    JamiiForums Tanzania Best Tanzanian Universities

    Nimeamua nijiridhishe https://www.webometrics.info/en/africa/tanzania%2C%20united%20republic%20of
  11. V

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na "Kazime Taa" Ni kauli gani nyingine ya ndio unayoijua?

    Niko 'P' Nitakuja siku nyingine ucjal.
  12. V

    JamiiForums Tanzania Dr John Pombe Magufuli, one of the best to ever do it, a true legend

    Mbona mnajitahid sana kumsafisha. Prof Assad kashutumbia Jambo letu niache kumsikiliza mm ni nani?? Na nikusikilize ww na kingereza chako cha kuombea toilet paper ww ni nan?
  13. V

    JamiiForums Tanzania Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

    Nikajua inaendelea kumbe story story tu
Back
Top Bottom