Recent content by Victorious Creature

  1. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapenzi wa gospel songs tukutane hapa

    Wimbo unaitwa "Chezea Pengine" upo You tube ni mzuri sana huu wimbo
  2. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza/Mume nina maambukizi ya HIV

    Asante sana nashukuru.
  3. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza/Mume nina maambukizi ya HIV

    Habari zenu nyote. Mimi ni msichana nakaribia miaka 34 soon. Nina maambukizi ya HIV namshukuru Mungu nipo vizuri naendelea na majukumu yangu kama kawaida .Naishi kanda ya Kaskazini Naleta ombi la kumtafuta mwenza/Mume ambaye atakuwa tayari kuanzisha familia pamoja na mie.Mimi ni mwajiriwa,elimu...
Back
Top Bottom