Kwa akili yangu ya kawaida sidhani kama hao walikuwa majambazi, kwa sababu hakuna walichochukua baada ya ya kumuua RPC. This must be something to do with wivu wa mapenzi. Kwanza sidhani kama huyo dada aliyekuwa nae nani anajua kuwa ni ndugu yake au hawara?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.