Recent content by Victor Yohana

  1. V

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee na Wenzake 18 nawaonya wasijaribu kwenda Mahakamani, "Kibatala na wenzake" bado wapo

    Wawnde mahakamani wakadai haki Yao ya msingi .. naamini huko mahakama itatenda haki .. naiona Chadema ikifa kifo Cha mende
  2. V

    JamiiForums Tanzania Maulid Kitenge, propaganda ulizotumwa kuzifanya kwa wana-Ngorongoro hazitakuacha salama

    moja ya hoja dhaifu kuwai tokea JF ni hii ya huyu jamaa .. yeye analeta siasa kwenye uhalisia , sasa ulitaka Maulidi akae kimya? amefichua alichokiona kwa manufaa makubwa ya Hifadhi
  3. V

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, Corona imekwisha?

    Na Victor Yohana (uvccmichenjezya@gmail.com) Mapema mwaka huu tulitangaziwa kuwa Dunia imeingiwa na ugonjwa wa CORONA. Tanzania ilikuwa nchi moja wapo ambayo ilishukiwa kuwa kuna watu wana dalili za virusi vya CORONA alimaarufu COVID -19. Wakati Dunia ikiendelea kutafuta tiba, Tanzania ilikuwa...
  4. V

    JamiiForums Tanzania DVD rewritable

    Upo wapi?... Namba za simu tafadhali?
  5. V

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbozi, Pascal Haonga ahutubia maelfu, pamoja na mvua kubwa lakini wananchi wakomaa, Mdude Nyagali apata nafasi ya kusalimia wananchi

    Ndio tatizo ya kuwa na VIJANA ambao walikimbia shule ... Sasa mdude kaongea pointi gani hapo?... Endeleeni kushabikia ujinga parapanda itawaita nyie kwanza
  6. V

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbozi, Pascal Haonga ahutubia maelfu, pamoja na mvua kubwa lakini wananchi wakomaa, Mdude Nyagali apata nafasi ya kusalimia wananchi

    Hahahaaaa.... Maelfu wapi we we ... Anaenda kufanya mkutano sokoni?.. Alafu mnadai ni maelfu..... Endeleeni kujifariji
  7. V

    JamiiForums Tanzania Kompyuta Ofisi ya DPP zenye kesi za Uhujumu Uchumi zaibwa

    Na wapatikane wakiwa hai au mfu
  8. V

    JamiiForums Tanzania Watanzania milioni 19.9 wajiandikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Tayari kwa kuliwa
  9. V

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ameweka jiwe la Msingi katika mradi wa ujenzi wa Barabara ya Mpemba-Isongole

    Sheria na kanuni zipo wazi ndugu .. Raisi kaongea vizuri sana kuwa kuanzia mwaka 2006 ambapo sheria ilianza kutumia rasmi kama ulijenga nyumba ktk hifadhi ya Barbara basi bomoa na kama ni nyuma ya hapo utaratibu mwingine utafuata .. Anacho kifanya mh. Raisi ni kufuuta sheria kipindi cha nyuma...
  10. V

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ameweka jiwe la Msingi katika mradi wa ujenzi wa Barabara ya Mpemba-Isongole

    Kabisa mtumie hiyo pesa mapema
  11. V

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ameweka jiwe la Msingi katika mradi wa ujenzi wa Barabara ya Mpemba-Isongole

    Sema baadhi ya wana CCM sio CCM
Back
Top Bottom