money is love, love might be strong at the start and so for you to make it ever living you should have some muler, imagine how could you show your patner that your in love with no money, kwa kufanya nae sex every day au kicn?, dats damn wrong right, everything you touch kwa dhumuni la kushow...
haiya bana hongera, wanawake wenyewe stress tupu, bora kutafuta pesa na ku enjoy maisha na mama yako mzazi wengine wazinguaji, tena nikushauri brother kama huja vuta jiko fanya uoe kwa mkataba unavuta zako ma successor maisha yanaendelea, unaoa jianamke umelipa pesa and every thing afu still...
brother ontario, nimekupata poa sana sema me ni science case kuhusu trading niko empty lakini kwa habari ya hiyo thread ya forex nimekupata fresh kabisa and nimekuwa impressed nayo me nipo tayari ku settle chini na kujifunza please naomba unisaidie jinsi ya kupata data za forex trading utakuwa...
guys nina swali anaelewa fresh naomba anifafanulie vizuri, ukitaka kuanzisha association ili kuwa member wa ICN[ international council of nurses], unafata process gani sababu nimestuck plz mwenye anelewa huo mchongo naomba anielezee
nimekuwa nikipitia mawazo yenu wadau, mna good ideas na imenifungua sana kwasababu nilikua na idae ya kufungua mpesa lakini now nimeona for surplus i have broad the business
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.