Pole ndugu, ila nliwahi shauriwa kuwa kama huna kifua kaa mbali na simu ya mwenza wako, mi nakuomba fanya yafuatayo, toka naye out siku moja jua wewe na yeye, ikiwezekana hata chukua weekend moja hotelini, wakati mnainjoi embu jaribu kupeleleza kama kuna kitu ana miss kwako, nini anatamani...