Recent content by Vicent Chipasula

  1. V

    JamiiForums Tanzania Taa za barabarani Gerezani - Mbagala hazitumiki?

    Naomba ufafanuzi kwanini taa za barabarani za kuongozea magari na vyombo vingine vya usafiri njia ya Gerezani-Mbagala hazitumiki na wakato huohup mradi wa ujenzi wa mwendokasi umekamilika.
  2. V

    JamiiForums Tanzania Mpango Mkakati wa Kuhamisha Viwanda Dar es Salaam kwenda Pwani kwa Kupunguza Foleni na Kuboresha Mipango Miji

    Napenda kuishauri Serikali kuwa inaweza kupunguza kwa kiasi kikubwa foleni sugu jijini Dar es Salaam na kuboresha upangaji wa makazi kwa kuchukua hatua ya kimkakati ya kuhamisha viwanda vikubwa, vya kati na vidogo kutoka katikati ya jiji kwenda mkoa wa Pwani, ambao unaweza kuandaliwa rasmi kuwa...
Back
Top Bottom