Recent content by vibertz

  1. vibertz

    JamiiForums Tanzania Simba inaendelea kudhihirisha ubora wake katika Mashindano ya CAF

    Kwa msimu huu ama kwa misimu ya ujumla?
  2. vibertz

    JamiiForums Tanzania FT | Simba SC 6-1 Mighty Wanderers (Agg: 7-1) | CCL - Simba Kafuzu Round 1 kwa kishindo | Uhuru Stadium | 13.9.2026

    Wote wanashiriki mashindano, kwenye ligi lazima wenyewe kwa wenyewe watakutana, na pia atakayecheza na Simba lazima pia Yanga itacheza nao atakayepiga hesabu zake ipasavyo ndiye atakaye faidika na mbio za marathon. Klabu bingwa wote wamefuzu kwenda hatua inayofuata, kwasasa ilipofikia timu ya...
  3. vibertz

    JamiiForums Tanzania FT | Simba SC 6-1 Mighty Wanderers (Agg: 7-1) | CCL - Simba Kafuzu Round 1 kwa kishindo | Uhuru Stadium | 13.9.2026

    Caf ranking sio fact ya kuipima current form ya timu, kwasababu inachukua data za misimu ya nyuma. Hii Gaborone ilicheza na Simba msimu uliopita je unakumbuka ni nini kilitokea? Simba unajua wakati wanacheza na Gaborone walikuwa wa 6 kwenye ranking? Yanga kuna timu ilicheza nayo ikaibamiza goli...
  4. vibertz

    JamiiForums Tanzania FT | Simba SC 6-1 Mighty Wanderers (Agg: 7-1) | CCL - Simba Kafuzu Round 1 kwa kishindo | Uhuru Stadium | 13.9.2026

    Timu dhaifu unaipima kwa kipimo gani kuiona ni dhaifu?
  5. vibertz

    JamiiForums Tanzania FT | Simba SC 6-1 Mighty Wanderers (Agg: 7-1) | CCL - Simba Kafuzu Round 1 kwa kishindo | Uhuru Stadium | 13.9.2026

    Kocha wa Simba kakaa muda gani kuifundisha timu yake vs kocha mpya wa Yanga? Unasema Yanga kaifunga Simba basi tu je kwa kutumia kielezo kipi ikiwa Simba walipata short on target moja tu tena dakika za mwishoni mwa mchezo? Vipi kuhusu possession? Embu nipe kigezo cha kusema hiyo kauli yako...
  6. vibertz

    JamiiForums Tanzania FT | Simba SC 6-1 Mighty Wanderers (Agg: 7-1) | CCL - Simba Kafuzu Round 1 kwa kishindo | Uhuru Stadium | 13.9.2026

    Ukifatilia mpira utaelewa, anza kidogo kidogo tu. Ulichoongea hakina tofauti na kuiambia Simba au Yanga akajifunze kwa Singida black stars kwavile tu kaifunga timu ya Al-Ghazal goli 7 wakiwa kwao.
  7. vibertz

    JamiiForums Tanzania FT | Simba SC 6-1 Mighty Wanderers (Agg: 7-1) | CCL - Simba Kafuzu Round 1 kwa kishindo | Uhuru Stadium | 13.9.2026

    Mkuu mpira huwa haufanyiwi ulinganisho kwa kutumia wapinzani wawili tofauti na mechi mbili tofauti.
  8. vibertz

    JamiiForums Tanzania FT | Simba SC 6-1 Mighty Wanderers (Agg: 7-1) | CCL - Simba Kafuzu Round 1 kwa kishindo | Uhuru Stadium | 13.9.2026

    Mpira pesa, mpira ni uwekezaji. Gaborone wanajitahidi kuchagua makocha walio na mbinu, kocha wao awali alifanya kazi kubwa sana dhidi ya Simba mpaka Simba wakamchukua, na wakafanya replacement ya kocha mwingine ambaye ameisumbua Yanga pia
  9. vibertz

    JamiiForums Tanzania Kulikoni tena mbona mapema sana tumeanza Kumlaumu huku tulishamsifia mno kuwa bonge la Kocha mpiga miti?

    Mashabiki wengine wa Yanga akili zao zimejawa na mahaba na mchezaji hivyo hata akiwa anakosea hawaoni. Aziz Ki kipindi cha pili kila mpira akipata anataka kupiga Zizou style na chenga nyingi, jamaa wanapokonya mpira wanaanzisha counter attack, shida sio kocha shida ni kwamba bado Yanga haina...
  10. vibertz

    JamiiForums Tanzania Kulikoni tena mbona mapema sana tumeanza Kumlaumu huku tulishamsifia mno kuwa bonge la Kocha mpiga miti?

    Sub za kocha, na mbinu za kocha zilikuwa sahihi shida ni kwamba Yanga haina kiungo mkabaji asilia mwenye ubora. La pili mabeki wa Yanga wamekuwa wenye makosa binafsi sana. Magoli yote waliyoruhusu Yanga kwenye michezo yote walioyocheza ni makosa binafsi ya mabeki
  11. vibertz

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 2-1 Gaborone Utd | CAFCL - Kufuzu Round 1 | Azam Complex | AGG 3-2

    Dah! Mabeki wa Yanga wana makosa binafsi yanayo igharimu Timu. Goli 2 zote za Gaborone walizo funga nyumbani na ugenini zote ni makosa binafsi, hata magoli waliyofungwa kwenye ligi kuu ni hivyo hivyo ni makosa binafsi ya mabeki
  12. vibertz

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Gaborone apigwa ngumi: TFF Ichukue Hatua Kulinda Taswira ya Tanzania

    Jamaa ni mpumbavu na mjinga haswa, yaani mchezo wa mpira wa miguu ameuwekea chuki na uadui dhidi ya mpinzani kiasi cha kumrushia ngumi mtu ambaye hajakuchokoz
  13. vibertz

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa kuisaidia Yanga kimataifa humu hakuna

    Hivi mnafanya huu uchambuzi, kwa kutumia vipimo gani? Timu zimecheza mechi moja pekee klabu bingwa na timu zingine hazicheza bado hata mechi moja. Ni mapema kufanya tathmini kwasababu kwenye mpira wa miguu timu hupanda na hushuka ubora hata kama timu ina jina kubwa. Hivyo mbeleni ndio tutapata...
  14. vibertz

    JamiiForums Tanzania Tafadhali katika kutaka Kupindua Meza Jumamosi ili tusichekwe tena CAFCL, Mganga wetu aonywe mapema asimtoe Kafara Mzee wetu Mgonjwa wa Ikwiriri

    Kweli kubwa jinga haswa, timu imepata goli ugenini halafu yeye analeta stori za kupindua meza. Wakati presha haipo tena kwao kwasababu hata sare ya 0-0 ni matokeo ya kuwapeleka mbele
  15. vibertz

    JamiiForums Tanzania FT: Mighty Wanderers 0-1 Simba SC | CAFCL-1st Leg | Wakali wa Kimataifa wafanya kweli | 06.09.2026

    Timu imegoma kabisa kumpa heshima Simba, ikaamua kwenda nao bampa to bampa na kweli aisee wameonesha wanaimudu Simba ila tu kule mbele hawana watu wa kumaliza mechi
Back
Top Bottom