Recent content by Viagio

  1. V

    JamiiForums Tanzania Aina gani ya marketing ni rahisi zaidi

    Vinywaji baridi au pombe?
  2. V

    JamiiForums Tanzania Kampuni nyingi wanawaunderate salespersons

    Umeongea kwa uchungu sana na nakuelewa mno hasa kampuni za kihindi ni majanga .
  3. V

    JamiiForums Tanzania Imarisha ulinzi wa mali zako nyumbani na ofisini kwa kufunga CCTV CAMERA leo.

    Hahaha! Sawa nasubiri simu yako
  4. V

    JamiiForums Tanzania Imarisha ulinzi wa mali zako nyumbani na ofisini kwa kufunga CCTV CAMERA leo.

    Naomba tumalize ubishi kwani sina ninachokificha ,bei ni kama ifuatavyo 1. Set ya camera 4 yenye hard disk ya 1TB, dvr Port 4,cable 100M,power supply pamoja na gharama za ufundi bei yake ni sh. 800,000/= 2. Set ya camera 8 yenye hard disk ya 2TB ,dvr port 8,cable 200M, power supply pamoja...
  5. V

    JamiiForums Tanzania Imarisha ulinzi wa mali zako nyumbani na ofisini kwa kufunga CCTV CAMERA leo.

    Naona kuna watu wameamua kunichafua makusudi maana hakuna sehemu nimetaja bei hizo nimewaambia wanionyeshe sehemu niliyotaja hiyo bei hawaonyeshi sasa sijui lengo lao nini
  6. V

    JamiiForums Tanzania Imarisha ulinzi wa mali zako nyumbani na ofisini kwa kufunga CCTV CAMERA leo.

    System ya camera inahusisha vifaa vingi kama dvr,hard disk,cable,power supply, router na bnc ili ikamilike siyo kama biashara TV au nguo kwamba bei yake inajulikana sababu inajitegemea hivyo idadi ya camera na mahitaji ya mteja ndo yanafanya bei ziwe tofauti mfano wewe ukawa unhitaji camera 2...
  7. V

    JamiiForums Tanzania Imarisha ulinzi wa mali zako nyumbani na ofisini kwa kufunga CCTV CAMERA leo.

    Mbona sikuelewi hebu nionyeshe mahali nilipotaja milioni 29 .
  8. V

    JamiiForums Tanzania Imarisha ulinzi wa mali zako nyumbani na ofisini kwa kufunga CCTV CAMERA leo.

    Nitakupigia unipe mahitaji yako.
  9. V

    JamiiForums Tanzania Imarisha ulinzi wa mali zako nyumbani na ofisini kwa kufunga CCTV CAMERA leo.

    Wapi nimesema milioni 29 ?
  10. V

    JamiiForums Tanzania Imarisha ulinzi wa mali zako nyumbani na ofisini kwa kufunga CCTV CAMERA leo.

    Wapi nimesema camera 1 milioni 5?
  11. V

    JamiiForums Tanzania Imarisha ulinzi wa mali zako nyumbani na ofisini kwa kufunga CCTV CAMERA leo.

    Bei siyo siri bali zinatofautiana kulingana na idadi ya camera
  12. V

    JamiiForums Tanzania Imarisha ulinzi wa mali zako nyumbani na ofisini kwa kufunga CCTV CAMERA leo.

    Karibu tukufungie cctv camera leo kwa ubora wa hali ya juu na kwa gharama nafuu. Huduma zetu ni za uhakika na tunazingatia mahitaji ya mteja. -Tunazo camera nzuri zinazoonyesha picha nzuri 24/7 Tunazo brand maarufu za Dahua na HIk Vision Tunatoa mafunzo bure kwa mteja jinsi ya kutumia na...
Back
Top Bottom