Recent content by viable

  1. V

    Samuel Sitta atengua uteuzi wa wajumbe wa kamati

    unless muwe hamna habari kuwa uteuzi huu ni wa pili baada ya ule wa awali kutenguliwa
  2. V

    Nauza Kiwanja Dodoma mjini

    niko interested
  3. V

    Nauza Kiwanja Dodoma mjini

    nipe bei kaka
  4. V

    Nyarandu kumuondoa Dr Nzuki?

    na amesahau kuwa wizara ni ya maliasili na utalii,na hiyo bodi inaundwa na waziri mwenye dhamana
  5. V

    Je, Ni Wakati Sasa wa Kukipiga Marukufu Kikundi Haramu cha "UKAWA?"

    napata tabu sana na watu wanaotanguliza chama na kudhani kila mtazamo wa chama chake ndio sahihi,tujaribu kurejea kwenye takwimu tujue wenye vyama kama hata wanafika theluthi ya wananchi wote,,hivyo tutambue hakuna mwenye dhamana ya kutuwakilisha tusio na vyama.Kama maoni yetu kupitia tume...
  6. V

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 21 Machi 2014 - Hotuba ya Rais, Uzinduzi wa Bunge Maalum

    nilishangaa sana kuona rais anadoubt mbunge kukosekana miezi 6 kwa ugonjwa ni kukosa huruma na hajatoa suluhisho..Wakati mwandosya kaumwa kdg tu kapewa wizara inayoelea,,na anajua kuwa sheria za utumiahi wa umma zinasema mtumishi akiwa na matatizo ya ugonjwa yanayomfanya kushindwa kutekeleza...
  7. V

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 21 Machi 2014 - Hotuba ya Rais, Uzinduzi wa Bunge Maalum

    Hii ndo wanaitaga chama kushika hatamu..Yan rais anashindwa kujitofautisha na m/kiti wa ccm..Dah very embarassing alaf anatuaminisha mbunge kuwa waziri anaweza kuwa mtu asiyependelea jimbo lake..Ngumu sana
  8. V

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 21 Machi 2014 - Hotuba ya Rais, Uzinduzi wa Bunge Maalum

    hoja hiyo kwa sasa haina mashiko..Security gani??makanisa yanachomwa..Watu wanauawa..Ubalozi wa US umelipuliwa na mengi tu..Usalama ni commitment ya serikali bila kujali mmeungana au lah..
  9. V

    Msalala-Shinyanga

    anayefahamu makao makuu yalipo na kama kuna mabasi ya moja kwa moja toka dar ampe taarifa hiyo muhimu
  10. V

    Msalala-Shinyanga

    wilaya mpya iiyotokana na wllaya ya kahama
  11. V

    Hizi ni hoja zilizoibuka mara tu baada ya Kikwete kumaliza hotuba yake! Wewe una hoja gani?

    mind set iliyo open ndo pekee inayoweza kubaini kuwa jk hakuongea kama rais rather kama m/kiti wa ccm
  12. V

    Mfamasia Hospitali ya wilaya Masasi azuia ufisadi Halmashauri ya mji Masasi

    mkurugenzi ndiye muajiri na ndiye mamlaka ya nidhamu ktk halmashauri..hivyo anao uwezo ingawaje sheria inamtaka kufuata taratibu zilizopo ikiwemo kumpa mtumishi barua ya kosa na kumtaka ajieleze kwa maandishi kwann asiadhibiwe
  13. V

    Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    huwezi kuwa serious hapa,unless uniambie ni nzuri specifically kwenye nn as u compare
  14. V

    CHADEMA: Ubunge jimbo la Chalinze

    bila shaka hapo kwenye ect ulimaanisha e.t.c yaani na kadhalika
Back
Top Bottom