Recent content by vi mbele

  1. vi mbele

    Israel yataka Vikwazo dhidi ya Mradi wa Makombora wa Iran

    Tangu lini Taifa la mashoga likawa taifa teule. Thubutuu!!
  2. vi mbele

    Mlio katika Mahusiano yenu na Wazoefu ( Wabobezi ) je, hili lina ukweli wowote?

    Furaha ya mke mwema ni kumuona mumewe akiwa amerudi salama nyumbani. Tosheka na hilo ndugu
  3. vi mbele

    Mpe mimba mpenzi wako iwe kama kishika uchumba, kama kweli unampenda

    Weza mpa mimba pia akikuona hueleweki mzigo akaendapewa mwingine. Acha tu waendelee kuitwa HAWA
  4. vi mbele

    Nahisi mke wangu anachepuka

    Bro kukaa miezi 8 tu tayari mshatembezeana mijeredi kiasi hichi kisha bado una wazo la kutaka kufunga nae ndoa maisha si mtauana nyie Hapana mke hapo
  5. vi mbele

    Uliwahi ku-date na mtu wa aina hii?

    Sipati picha hapo sasa ww ndio ulikuwa upande wa ukutani mkuu au
  6. vi mbele

    Umewahi kuwa na matarajio makubwa kisha ukaumizwa?

    Kuumizwa hakuna ujanja bro, weza tumia kila njia mwisho wa siku ukaangukia pua
Back
Top Bottom