Recent content by vholl2000

  1. V

    SoC04 Tanzania inaweza kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi

    Stories of Change 2023 SoC03 Uchambuzi juu ya uwajibikaji katika TANZANIA INAWEZA KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIA NCHI Mabadiliko ya tabia nchi ni tatizo linalokuna vichwa vya mabara yote duniani.Mabadiliko ya tabia nchi yamesababisha madhara makubwa katika mazingira. Miezi michache...
  2. V

    SoC03 Uchambuzi juu ya uwajibikaji katika kupunguza ongezeko la taka za plastiki

    Tarehe tano mwezi wa sita kila mwaka ni siku ambayo dunia nzima inaazimisha siku ya mazingira. Mwaka huu 2023, siku hii imebeba kauli mbiu “ Pinga uchafuzi wa plastiki”.Nyaraka hii itaangazia athari za plastiki katika mazingira na afya, pamoja na uwajibikaji kwa wananchi,serikali,mashirika...
  3. V

    SoC02 Mwanaume rudi kwenye nafasi yako!

    mwanamke anaejitambua haoneshi dharau kwa mwanaume anaechakarika na kujishughulisha hata kama anapata 1000 kwa siku...tatizo ni pale huyo mwanaume anapogundulika ana mchepuko...hiyo ndoa utaiona chungu na hutaamini huyo ndio ulioa...
  4. V

    SoC02 Mwanaume rudi kwenye nafasi yako!

    umeona ee. na wangejua nilieandika makala ni mwanamke....
  5. V

    SoC02 Mwanaume rudi kwenye nafasi yako!

    Ndo hivyo uhalisia uliopo
  6. V

    SoC02 Mwanaume rudi kwenye nafasi yako!

    KWANI WANAUME HAMPO KUPIGA KURA HII POST?
  7. V

    SoC02 Mwanaume rudi kwenye nafasi yako!

    Ni ukweli usiopingika kuwa tokea mapinduzi ya kumkomboa mwanamke kiuchumi, kisiasa na kijamii wanawake wengi wamekuwa na nguvu sana katika nyanja zote za siasa, uchumi na jamii na kuwaacha wanaume nyuma. Tukirudi miaka ya 90 kurudi nyuma kulikuwa na dhana kwa wanawake wengi kuwa wao hawawezi...
  8. V

    Fremu zinapangishwa Mwenge

    namba ya simu afadhari, kama bado zipo
Back
Top Bottom