Recent content by veti

  1. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kaniona nikiwa namshika Muhudumu wa Baa, nasuluisha vipi hii kesi?

    Mwambie zilikuwa ni pombe tu si akili yako.
  2. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba kutolewa jongotongo juu ya huu ujauzito

    Ikiwa mimba imetunga huo mwezi wa pili na mwezi wa kumi amejifungua, kama ni yako labda amezaa kabla ya wakati yaaani premature
  3. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Archraf Hakimi: Hii ndo sababu ya mimi kuhamishia mali zangu kwa mama yangu mzazi nilipoona dalili za kutopendwa na mke wangu wa zamani

    Hizi ni points tatu kabisa kwa team kataa ndoa
  4. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina mashaka na ujauzito wa mpenzi wangu

    Akapige ultrasound nyengine halafu ulinganishe hiyo ya mwanzo na ya pili, hasa hasa mpleke kwa radiographer mzoefu. kisha linganisha mkuu. Mara nyingi mimba ya wiki tatu haionekani kwa ultasound laba labda report itasema kuna dalili za mimba changa i.e features are suggestive of early...
  5. V

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa Lucas Mwashambwa amepewa nafasi CCM ndio maana haweki namba siku hizi

    Tumia code mkuu
  6. V

    JamiiForums Tanzania Hospitali zote zaagizwa zihudumie wagonjwa ndani ya masaa matatu, je hospitali zetu zimejengewa uwezo huu?

    hii hapana kaka, kuna emergency case, urgent case, na kadhalika. lazima wagonjwa wafanyie triage kisha ndio tutajua yupi anahitaji huduma mwanzo zaidi kwa kadri ya case yake.
  7. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nakuachaje sasa? Si kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi

    unakumbuka ndom mkuu, lishangazi hiloo ohooo
  8. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mpenzi

    sasa kwa akili za kutafuta manzi hapa jamvini, utakuja kuweza kuhandle manzi kweli kaka
  9. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mpenzi

    maliza kwanza masomo kisha uingie kwenye mapenzi la si hivyo utakula supplementary za kutosha hapo masomoni kwako.
  10. V

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuzindua Miradi Nane Kizimkazi Day"

    kweli mkuu, na hili kuna watu watamkejeli kana kwamba yeye si binadam.
  11. V

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    huenda ikawa ni mtego kaka, wanasubiriwa wajae kwenye 18
  12. V

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    lete nondo mtoro wa shule
  13. V

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    kazi kweli kweli
  14. V

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Halafu Putin yupo zake Azerbaijan na kwake kunawaka moto
  15. V

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Nato imeingia rasmi na majeshi yao, Ukranian nguvu hiyi wanaitoa wapi
Back
Top Bottom