Recent content by Vet Surgeon

  1. V

    Nitoeni ushamba na jiko la gesi

    Jaribu kutoa burner, then chukua kijiko au chochote ubonyeze ile round (gorori). Gesi itatoka kidogo na itasaidia kupush uchafu au mchanga. Weka tena burner Maana mchanga au uchafu ukiwepo panakua loose kwaio gesi inaweza kupitia hapo.
  2. V

    Usisaidie masikini, acha wafe

    Taikoni wa fasihi unashindwa kutofautisha kati ya Masikini na Mpumbavu, Tittle ilibidi iwe "Usiwasaidie wapumbavu, acha wafe" Maana kunawatu wamezaliwa kwenye familia masikini na nimasikini ila sio wapumbavu, ila kuna watu ni matajiri ila ni wapumbafu. Kwaio kwenye masikini weka mpumbavu...
  3. V

    Kwa yaliyotokea, ni wazi naanza kupata mental illness au effects za vitu nilivyotumia awali

    BabMorgan rudi uyamalize na ndugu zako. Hii true story, kuna brother wangu pia alikosana na sisi sote hadi mother. Akaanza kuzunguka kama wewe, akapoteza hela zote kwenye safari zake. Ila mwishoni amesharudi kundini na ameanza mishe upya. Kwaio maliza ugomvi na ndugu zako au upoteze hela zako...
  4. V

    Waziri Ndaki na Katibu (Mifugo) Nzunda, Uhalisia kuhusu kuomba kusitisha mafunzo atimizi (internship) kwa Madaktari wa Mifugo

    Kweli maana huyu Dr Tixon Nzunda ndio alitujibu, na amecomfirm twende intern bila hela ya kujikimu na ndie katibu wa Wizara husika. Sijui hanadhani tutaishije intern mwaka mzima bila hela kujikimu.
  5. V

    Waziri Ndaki na Katibu (Mifugo) Nzunda, Uhalisia kuhusu kuomba kusitisha mafunzo atimizi (internship) kwa Madaktari wa Mifugo

    Hata mkituita wakulima ni sawa tu, nyie kwenye Wizara yenu si mna watu wakuwatetea. Sisi wenzetu Veterinarian tulio wapa vyeo ndio wanatukandamiza. Kwaio sioni ajabu kutuita jina lolote. Maana hatuna wa kututetea.
  6. V

    Waziri Ndaki na Katibu (Mifugo) Nzunda, Uhalisia kuhusu kuomba kusitisha mafunzo atimizi (internship) kwa Madaktari wa Mifugo

    Kweli ndugu, yaani wanatunga sheria bila kujui jinsi gani zitatekelezwa. Au bila kua na mipango ya utekelezaji wa hizi sheria
  7. V

    Waziri Ndaki na Katibu (Mifugo) Nzunda, Uhalisia kuhusu kuomba kusitisha mafunzo atimizi (internship) kwa Madaktari wa Mifugo

    Kutukomoa tu, kwasababu hatuna nguvu kwenye maamuzi ( decision power).
  8. V

    Waziri Ndaki na Katibu (Mifugo) Nzunda, Uhalisia kuhusu kuomba kusitisha mafunzo atimizi (internship) kwa Madaktari wa Mifugo

    Bora wafanye hivi kidogo tutasaidika. Ila sasa internship yenyewe wameweka vipengele vingi ambavyo vinatubana sana sisi tusio kua na ramani yoyote ( jobless) kutumia pesa nyingi ambazo hatuna. Ni vyema wapitie upya kanuni za intern, maana tunaoteseka ni sisi masikini.
  9. V

    Waziri Ndaki na Katibu (Mifugo) Nzunda, Uhalisia kuhusu kuomba kusitisha mafunzo atimizi (internship) kwa Madaktari wa Mifugo

    Wala hatujisikii sana ndugu 😂😂😂😂. Sema hayo mambo omba yasikutokee yana umiza sana (more than pain). Nahisi labda wahusika uko wizarani ndio wanajisikia sana. Ila huku mtaani ( on the ground) hali ni tofauti kabisa. Tuna maisha magumu sana, mwaka mzima upo nyumbani na ujasajiliwa. Na wanataka...
  10. V

    Waziri Ndaki na Katibu (Mifugo) Nzunda, Uhalisia kuhusu kuomba kusitisha mafunzo atimizi (internship) kwa Madaktari wa Mifugo

    Sasa ndugu unanikosoa, wakati haujui matumizi ya nukta tu. Kajifunze kiswahili kwanza
  11. V

    Waziri Ndaki na Katibu (Mifugo) Nzunda, Uhalisia kuhusu kuomba kusitisha mafunzo atimizi (internship) kwa Madaktari wa Mifugo

    Pole ndugu kwa kuto kuchagiliwa, na hongera sana kwa sehemu uliopo sasa. Kufanya intern mwaka mzima bila malipo, sio kazi rahisi. Wizara lazima ione namna ya kutusaidia
Back
Top Bottom