Recent content by veshego

  1. V

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amefuata ushauri wa Prof. Janabi? Mbona amepungua sana!

    Mi mwenyewe nilivyomuona tu kwenye picha haya ndo mawazo yaliyonijia...nikasema huyu 30 hatoboi
  2. V

    JamiiForums Tanzania Huna utalolifanya litaloweza kukusafisha popote pale

    It's a shame hivi kati ya CCM na hao mliowaua nani anapora madaraka ya mwenzie...mnafanya makosa na hamtaki kukubali kuwa mmekosea na kudhulumu uhai na haki za watu...Hakika hasira ya Mungu na gadhabu yake isikauke juu yenu na malangoni kwenu...hamtaki kuwapa wananchi haki zao za kikatiba na...
  3. V

    JamiiForums Tanzania Huna utalolifanya litaloweza kukusafisha popote pale

    Kwajinsi watanzania tunavyomchukia huyu Samia..tunamuombea asife mapema malipo yake ayapate hapahapa duniani kabla hajafa...shetani mnywa damu za watu..na siku zake hazipo mbali zimekaribia..tuzidi kumuomba Mungu..kwani Mungu wetu Sio kiziwi
  4. V

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Yoga shusha vitu plz...tunasubiriaa
  5. V

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata scholarship ya Masters program?

    Bado sijafanya application...sawa itabidi niwacheki
  6. V

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata scholarship ya Masters program?

    Mbona Mimi nikifungua website yao nikitaka kuapply inagoma??? Nahangaika tangu juzi
  7. V

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    PAKA yupo kazini
  8. V

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Ali Idi Siwa, Tanzanian Ambassador to Rwanda presents credentials to H.E President Paul Kagame - Kigali, 1 April 2015 “In respect to the relations between Rwanda and Tanzania, which had fallen into an unfortunate situation, we would like to say that let the bygones be bygones, we are starting a...
  9. V

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Hiyo hapo
  10. V

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Yoga tumekumiss
  11. V

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Ndioo...inaonekana kama vile ilipostiwa halafu imefutwa...
  12. V

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Jamani mbona mendelezo hatuuoni Tena?? Msaada PM wakuu kwa alieucopy..[emoji120][emoji120]
  13. V

    JamiiForums Tanzania Nauza asali mbichi toka Tabora ya nyuki wadogo na nyuki wakubwa

    Kama unachukua nyingi kwa ajili ya biashara ntakupunguzia bei
  14. V

    JamiiForums Tanzania Nauza asali mbichi toka Tabora ya nyuki wadogo na nyuki wakubwa

    Nyuki wakubwa lita 5 tsh 30,000/= na nyuki wa dogo lita 5 ths 80,000/=
  15. V

    JamiiForums Tanzania Nauza asali mbichi toka Tabora ya nyuki wadogo na nyuki wakubwa

    Habarini wanaJF Mimi ni mjasiriamali mwenzenu toka Tabora nauza asali mbichi ya nyuki wadogo na nyuki wakubwa haijachakachuliwa hata kidogo, hutojutia ukinunua asali hii...bei ni poa karibu na bure...delivery pia ipooo Wajasiriamali tupendane tusaidiane maisha
Back
Top Bottom