Recent content by verteller

  1. V

    Kuna mjadala kuhusu mfalme wa saudia kuingia AlKaaba kavaa viatu

    Hakika ni kuwa viatu vinafaa kuswalia maadamu ni twahara, havina najisi. Utwahara wa viatu ni kuwa vikavu. Tufahamu kuwa Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Maswahaba (Radhiya Allaahu ‘anhum) walikuwa wanaswali na viatu ambavyo walikuwa wanatembelea navyo ndani ya Msikiti...
Back
Top Bottom