Recent content by verizon

  1. verizon

    JamiiForums Tanzania Tokea saa mbili asubuhi mpaka saa 6 usiku wapo bar, wanatoa wapi pesa?

    Kwanza kufatilia watu sio jambo zuri. Pili kila mtu na biashara zake ziwe halali au haramu. Tatu kama umependa staili zao jiongeze katika utafutaji wako kisha uspend na wewe.
  2. verizon

    JamiiForums Tanzania Hivi mbona wasanii wanapenda sana kuandikwa magazetini?

    Wanapenda kuandikwa ili wapate kick..kuhandle umaarufu sio jambo dogo na umaarufu una raha zake..
  3. verizon

    JamiiForums Tanzania Hodi Hodi

    Mimi mgeni humu wanajamvi..nikaribisheni
Back
Top Bottom