Recent content by venuss

  1. venuss

    Wanawake hebu tujitahidi sasa kujishusha kwa wanaume wetu Ili kunusuru hali

    Asante kwa ushauri lakini asilimia 90 ya wanao preach hayo mambo ni watu ambao mahusiano kwao huwa ni magumu sana na hayo wanayoshauri hawalifanyii kazi hata moja kama ni mwanamke utakuta keshaolewa karibia mara kumi huko au hata ndoa yenyewe hana...... Maisha ya ndoa au mapenzi huitaji...
  2. venuss

    Kanikataa kwa sababu ya Ufupi...!!

    Huu ndio ukweli
  3. venuss

    Sitakaa nimuamini tena mwanamke

    Haya mambo sio wanawake tu hata wanaume pia wapo tusihukumu upande mmoja..... Na huwezi jua huyo dada aliona vitu gani kwa huyo mwanaume ikabidi tu achukue maamuzi, wanawake wengi huwa hatuwezi kuongea hata tukiona hapa no future huwa tunafanya maamuzi kimya kimya tofauti na nyinyi huwa...
  4. venuss

    Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

    Jaribu acnes wengi imewasaidia
  5. venuss

    Kila nikiingia kwenye mahusiano najikuta namchukia huyo mtu

    Nikwambie kitu mama sio kila tatizo ulilonalo linahitaji sijui ushauri wa kisaikolojia au ukaombewe mambo mengine unaweza yamaliza wewe mwenyewe hadi ukashangaa hata hao unaowafuata wana matatizo yao na hawajui watayamaliza vipi Nnachokiona kwako hujapata tu mtu alie sahihi kwako na ndio maana...
  6. venuss

    Kila nikiingia kwenye mahusiano najikuta namchukia huyo mtu

    Hiyo hali wengi tunapitia na kinachotokea inakuwa ni kutojiamini na kuhisi huyu anaweza kuniumiza kama yule ya mwanzo hata umpate mtu akakupenda vipi bado utahisi kuna vitu anakosea while, unajikuta unatamani umpate mwanaume ambae yupo kama malaika asiwe na mapungufu hata kidogo kitu ambacho...
  7. venuss

    Je, ni kweli mwanamke mwenye kitambi hupoteza mvuto?

    Hayo maganda ya cabbage asichemse ni sufuria tu ikishapata moto anayaweka na yenyewe na anakua anayageuza geuza ataona kama yanatoa mvuke hapo yatakua tayari ila yasiungue
  8. venuss

    Je, ni kweli mwanamke mwenye kitambi hupoteza mvuto?

    Mwambie achemshe maji achanganye na tangawizi ila Ile mbichi sio ya unga hayo maji anaweza hifadhi kwenye chupa ya chai Matumizi :asubuhi kabla hajala chochote anywe kikombe kimoja cha hayo maji ila aweke limao vijiko viwili na asali kijiko kimoja afanye hivyo hivyo mchana na jioni Njia...
  9. venuss

    Nimeathirika kisaikojia nimefikisha miaka 42 sasa bado nashindwa kuoa. Kila napowaza naghairi

    Pole sana ila hiyo hali uliyonayo inaweza isha kabisa sababu tayari unaonekana una nia na umeshakiri kosa hata Mungu atakua upande na unaweza ukashangaa ukapata innocent wife kuliko hata wa wale ambao hawana historia kama yako Kuna watu walikua wachawi, majambazi ila walitubu na leo wengine...
  10. venuss

    Msaada: Jinsi ya kupunguza au kutokuwa na hasira

    Exactly na mimi ndio copy yake
  11. venuss

    Msaada: Jinsi ya kupunguza au kutokuwa na hasira

    Aisee nikuite tu twin yani huna tofauti na mimi hata kidogo kile nnachokiona ni sawa then mtu anishauri tofauti hua napata shida kumuelewa ila lazima kile nnachoamini nikifanyie kazi na bahati nzuri mimi ni mpole sana ila sina hata chambe ya uoga jambo watu wanaweza liogopa ila mimi ndio kwanza...
  12. venuss

    Msaada: Jinsi ya kupunguza au kutokuwa na hasira

    Yani mimi niko tofauti nikitoa tu chozi nnakua na maamuzi ambayo ni magumu na ujasiri uliopitiliza ila nikikasirika chozi lisitoke nakua kawaida sana
  13. venuss

    Msaada: Jinsi ya kupunguza au kutokuwa na hasira

    Nimejifunza kitu yani hasira huwa zinanitesa sana na mbaya zaidi mimi napenda sana kukaa peke angu yani kukaa na watu huwa siwezi
  14. venuss

    Msaada: Jinsi ya kupunguza au kutokuwa na hasira

    Mmmh huu ugonjwa tupo wengi sana sometimes sijui upole sana nao unachangia au Ile kupenda kukaa mwenyewe Yani mimi nikikwazika nachozi tu likinitoka kitakachofuatia hapo Mungu ndio anajua na sikubali nishindwe ila unakuta baada ya mda naanza kujutia kwanini nimefanya hivi hua sipendi sana...
Back
Top Bottom