Recent content by VENKO

  1. VENKO

    JamiiForums Tanzania Biashara 4 zenye Faida kubwa zaidi nchini Tanzania kwa sasa. Matajiri hawataki uzijue

    Vile umeanza na mtaji wa 500M alafu anakuja mwasembile anashinda 600M siku ya kwanza tu 😁
  2. VENKO

    JamiiForums Tanzania Biashara 4 zenye Faida kubwa zaidi nchini Tanzania kwa sasa. Matajiri hawataki uzijue

    Tupite na namba 3 naona ina kitu.
  3. VENKO

    JamiiForums Tanzania Sema Unapenda nini?

    Me nawashauri msiende kuangalia simba mnaweza mkaliwa
  4. VENKO

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kutoa sadaka

    Kwamba inawezekana kutoa pasipo kutoa kitu halisi?
  5. VENKO

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kutoa sadaka

    Nasubiri mwaliko
  6. VENKO

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kutoa sadaka

    Sahihi kabisa, kuna la kujifunza hapa.
  7. VENKO

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kutoa sadaka

    Upo sahihi kabisa.
  8. VENKO

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kutoa sadaka

    Asante sana, mwanazengo naona kuna mengi ya kujifunza kwako
  9. VENKO

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kutoa sadaka

    Bora nihonge.
  10. VENKO

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kutoa sadaka

    Kua mpole basi 😁
  11. VENKO

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kutoa sadaka

    Sahihi labda kusomesha yatima
  12. VENKO

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kutoa sadaka

    Huku hamna mpaka mjini kiongozi.
  13. VENKO

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kutoa sadaka

    Hivi ni kwanini Jesus alipokuwa akitenda alikataza watu & wanafunzi wasimwambie yeyote?
  14. VENKO

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kutoa sadaka

    Unakitu.
  15. VENKO

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kutoa sadaka

    Kitu nimejifunza ni kwamba, kutengeneza na kuboresha mahali ambapo wanafanyia ibada na kutoa sadaka watu, ni mojawapo ya sadaka mkuu. Sijapeleka pesa cash, sabuni au ndizi. Nimepeleka vitu vya ujenzi maana shuhuli za ujenzi zinaendelea. Je, nitakuwa sawa hata kidogo kabla sijaacha kupeleka ...
Back
Top Bottom