Recent content by vedm

  1. V

    Chadema tuipime hii janja ya CCM

    Cdm kama chama Pelee mbadala kwa CCM, kuna janjanja ya hawa jamaa kujitengenezea ka kikundi ka upinzani ndani yao. . . . Mfano: Uwepo wa kambi ya upinzani ya akina, Nape, Bashe na Musukuma. Hii janja ya nyani kula mabua....
  2. V

    Siasa bila unafiki hainogi

    [emoji15] [emoji15] [emoji15] WAACHE waendelee kubishana sisi tujiandae katika sanduku la kura
  3. V

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    :flypig::flypig: siasa za maji taka ......... ni bora kuwa mgombea binafsiiiii hivi vyama uchwaraaaaaaaa............. waongoooooooooo.......... bora kuachanaaaaaaa na ccm....... si cuf waongoooooooo......... si ukawaaa waoooongoooooooooooooooooooooooooo....
  4. V

    SASA KUMEKUCHA UKAWA IMEWIKAAA IKULUUUUUUU. unabishaaaa??????

    hayawi hayawi sasa yamekuwa ccm walidhani masiala. hakika siku ya kufa nyani miti yote huteleza. walimsahau mzee wa maamuzi magumu.......
  5. V

    Hakika waafrika "watanzania" tujifunze kwa hili.

    kutokana na mchezo wa siasa ulivyo kwa sasa nchini mwetu tuelewe na tukubali kwa hakika siasa haina adui wa kudumu. swala la msingi ni kufuta mawazo ya kizamani kwamba malengo, maono au ndoto zako zitatimizika ktk chama chako au mazingira ulipo. jambo la msingi ni kusoma alama za nyakati na...
Back
Top Bottom