Recent content by Vchazy17

  1. V

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake mnawapenda wanaume wacheshi?

    Mbona wachekeshaji wanaachika tu!!!😂😂😂😂😂😂😂
  2. V

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi mkeo kukutumia text kama hii?

    Kwa mm naona mwanamke anakosea mumeo kaenda kutafuta alafu uwambie unachoka kufungua mlango kwanza unapata wapi ujasili wakulala bila kumuona mumewako kama ameludi salama na anapo pita kumwagilia moyo sio jambo baya sema kunashida nyingine apo ndani yake
  3. V

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi mkeo kukutumia text kama hii?

    Kwa mm naona mwanamke anakosea mumeo kaenda kutafuta alafu uwambie unachoka kufungua mlango kwanza unapata wapi ujasili wakulala bila kumuona mumewako kama ameludi salama sema kunashida nyingine apo ndani yake
  4. V

    JamiiForums Tanzania Naweza kurudia mtihani wa O-level kwa masomo ambayo sikufanyia mtihani awali?

    Asant mkuu, lakini pia tunajua mtu akipata D moja awezi pata cheti lakini akirisiti na akapata D mbili au C moja anapata cheti naicho cheti kitaonesha ana masomo mawili tu alio fanya je icho cheti kitakua na uwezo wakutumia kwenye ajila.
  5. V

    JamiiForums Tanzania Naweza kurudia mtihani wa O-level kwa masomo ambayo sikufanyia mtihani awali?

    KWA MFANO MTU AMEPATA ZERO YA 34 YANI KAPATA "D" MOJA TU ANAWEZA KURISITI MASOMO MATATU TU AU MAWILI KWAAJILI YAKUPATA CHETI TU
  6. V

Back
Top Bottom