Recent content by Vbukombe

  1. V

    Nampenda kimapenzi mama mmoja naibu waziri jamani nifanyeje

    Pole ndugu muombe Mungu akusaidie wapo wengi wanaosumbuliwa na vitu kama hivyo, kumpenda mtu siyo tatizo isipokuwa huyo unayempenda yukoje kwako? Na kama ni mke wa mtu mie nakushauri achana naye maana madhara yake baadaye kwa vyovyote vile kwako hayatakuwa mazuri.
  2. V

    Mpenzi wangu amenisaliti.

    Pole sana ila muombe Mungu nawe atakusaidia pengine huyo hakuwa chaguo lako.
  3. V

    Padri amwagiwa tindikali Zanzibar

    Inasikitisha sana, Watanzania tuache tabia hii mbaya haitujengi mbele ya wenzetu na Mungu hapendi.
Back
Top Bottom