Ila KIUME, ni bora uende ukweni na kitu kidogo, uwaambie hali tete wakuvumulie upambane kutafuta mahari ukipata utalipa kilichobaki. Hii ya kulipiwa mahari imekaa kiboya sana. Kama umeshindwa kupambana kupata mahari, utaweza kweli kupambana kulisha mke na mtoto? Hata kama mnapendana kiasi gani...
[emoji1][emoji1] matusi ya nini sasa. Wewe si unajua sheria na unapenda haki? Nenda kaonyeshe utu na umahiri wako mahakama ya rufaa, kama huwezi funga bakuli lako cuz whinning like a little girl hapa JF wont do any justice kwa huyo unayesema ameonewa..
Mfano mwingine Kelly alifunga ndoa na Aaliyah kupindi Aaliyah akiwa under age.
In a whole universe ni Tanzania tu ambapo mtu anaweza kubishia tafiti na hata hard facts kwasababu akili yake inamtuma kuamini vinginevyo..
Ishu ya Kelly haihusiani na racism ya Criminal justice system ya Marekani. Kelly hayuko matatizoni kwasababu ya rangi yake, yuko matatizoni kwasababu amebaka watoto tena wengine wengi wakiwa weusi wenzake, na ushahidi upo. Ni pedophile. Anapaswa kufungwa.
Its disgusting, wanaleta mapenzi ya mziki kwenye maisha ya watu..amebaka, ameharibia watu maisha halafu watu wanamtetea kwasababu alikuwa anaimba vizuri..
Dawa ya Panya Road ni KUWAUA mara baada ya kuwakamata. Crackdown kama ya Duterte kwa wauza unga. Au Kama tulivyofanya kule Rufiji.
Katika muktadha mpana, tatizo la panya road msingi wake ni Family Dysfunctions. Yaani Familia kupoteza muelekeo, na kushindwa kutekeleza wajibu wake wa kuchunga...
Katika mfumo wa Uendeshaji uchumi wa Soko Huria dhima ya kujenga viwanda sio ya serikali, ni ya sekta binafsi. Serikali kazi yake ni kuweka institutional frameworks nzuri kuwezesha sekta binafsi kuwekeza.
Haijalishi wameanza kukaa lini. Ishu ni kwamba wapo kwenye eneo la hifadhi. Uwepo wao na mifugo yao hakuna faida yoyote kwenye ecosystem ya hifadhi, zaidi zaidi in long run kunaleta competition for resources kama ardhi na malisho. Wawe relocated.
Serikali, kwa maana ya umma ndio mmiliki wa...
Exactly. Kamata, Kichapo, Ua. Kamata, kichapo Ua. Kama alivyofanya Duterte kwa waZungu wa Unga. Mambo kama haya hayataki sijui eti Diplomasia, Hotuba kwenye vyombo vya habari, sijui innocent until proven gulity, sijui haki binadamu. Mtu anapoamua kujitoa akili na ku destabilise amani ya nchi...
Dawa ya makundi haya ya kihalifu ni moja. Kuwaua. Kwamba wakikamatwa 18, angalau nusu wauawe. Ama wananchi, au polisi wawaue watoto hawa.
Kuwakamata, kuwafungulia mashtaka, kuwafunga, kuwatisha kwa kuwakemea kwenye vyombo vya habari ni hatua za kipuuzi ambazo hazi saidii kukomesha vitendo...
Umeongea vyema. Huyu jamaa ni mjinga sana, kwasababu anafanya generalizations za kipuuzi kabisa bila kujenga hata hoja moja tu ku justify anachoongea.
Tukirudi kwenye facts Kifo cha Magufuli watu waliomboleza mpaka nje ya Nchi. Mbali ya kifo cha Nyerere, Hakuna tukio la kitaifa lolote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.