Recent content by VaSco Jr

  1. V

    JamiiForums Tanzania Mjue mdudu ghali zaidi duniani, anauzwa Tsh. Milioni 200

    Siyo mwenyew mkuu order coleoptera wako wengiii mno hapa bongo tuko na spices tano ambazo ni maarufu ila wanafanana miili kutokana na kutoka kwenye common spices na location
  2. V

    JamiiForums Tanzania Mjue mdudu ghali zaidi duniani, anauzwa Tsh. Milioni 200

    Bongo tuko na zaid ya spices 50 za beetles ambapo common n dung beetle kwa kimombo ila kibongongo wengi huwa wanaemwaita dingi jamii ni moja tofauti ni kwamba mpka kuonekana kwa stag beetle ni kax kubwa sana but dung beetle wapo wengi mnoo sababu ya adaptation kwenye climate conditions ya hali...
  3. V

    JamiiForums Tanzania Kwa mafanikio, oeni pisi za kawaida

    Jasiri haachi asili hata iwe chungu kama shubiri, wanangu lazma wawe na mama mrembo kuliko 😂 cwezi oa kitu ukishtuka mkiangaliana unaeza zimia
  4. V

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke nimtafute tena au nibwage?

    Ooh!! so huku hit na kuku alikula mkuu?
  5. V

    JamiiForums Tanzania Kundi la Wadudu Arusha ni kielelezo cha ushamba

    Umeshawai kuona rubega la form six au material ya satin unaowaona na drafts wanadumisha asili yao ya maasai shuka wakiwa maeneo ya changanyikeni
  6. V

    JamiiForums Tanzania Kundi la Wadudu Arusha ni kielelezo cha ushamba

    Karibu karne hii mkuu usichoshe ubongo na kumbukumbu za kipindi unakua pengine mjombaa
  7. V

    JamiiForums Tanzania Kundi la Wadudu Arusha ni kielelezo cha ushamba

    Umesahau matejoo na chekaung'atwe na wazungu wakija wanaroll n wahuni ili waweze kuelewa culture maan c kitu ya leo au jana hyoo
  8. V

    JamiiForums Tanzania Kundi la Wadudu Arusha ni kielelezo cha ushamba

    N Naomba uandike kwa herufi kubwa waelewe mkuu maan sijui huo ushamba anaosema wa mkoa kautoa wapi
  9. V

    JamiiForums Tanzania Kundi la Wadudu Arusha ni kielelezo cha ushamba

    😂 Cjui n kwanin mnaona hivyo ilhali mngejua kilichopo mngetulia maan hyo n content creation kama nyingne hapa town hatuna mda nao wala i hope mnaona clip zao kuna mtu anakuag busy kuwazingatia? Mjaribu kuongea mkiwa n uhalisia au japo point kadhaa za ukwel
  10. V

    JamiiForums Tanzania Kundi la Wadudu Arusha ni kielelezo cha ushamba

    🤣🤣 Umezeeka anza afya ya akili eti experience mkuu ulikua unakaa maeneo gan ukute ulikua longido au mererani huko unajisifu umekaa arusha na unaexperience eti
  11. V

    JamiiForums Tanzania Kundi la Wadudu Arusha ni kielelezo cha ushamba

    Nahic bado mnaitaji ukomavuu san this is maasai land ipo kitraditional wazungu wanadata na traditional mkuu treatment na vitu vyote hakimbiliwagi mtu #tunakupokea ulivyo kuja kishamba tutakufundisha kijanja utaendelea kujifunza
  12. V

    JamiiForums Tanzania Kundi la Wadudu Arusha ni kielelezo cha ushamba

    Tembea mkuu ili ujaribu kujifunza pengine umeanza kuzeeka, alaf pia cyo kwa ubaya nitakua mwenyeji wako cyo kwamba natetea lengo ni kukufundisha ufundishe wanaoongea pasi na kuwa na uhakika wa jambo ilhali maisha ya ckuizi kila mtu anataka kuwa content creator kwahyo kuwa na uhakika ndo uongee...
  13. V

    JamiiForums Tanzania Kundi la Wadudu Arusha ni kielelezo cha ushamba

    Hizo ni akili zako binafsi maan hata wewe unae waona wao ni washamba na sisi tunakuona mshamba tena c kidgo huez chukulia kikundi kama sample ya mkoa wetu wote jarbu kutembea ujue ili uache kuropoka wew wakuja tu #hatufagilii ushamba sisi #geneva of Africa
  14. V

    JamiiForums Tanzania Mdomo wa Lissu haujawahi kuwa na adabu wala hekima

    Tuko pamoja mkuu cc tumekua watafutaji walaji wapo zenji hii n nonsense kabsa afu kuna lipuuzi halielew chochot linakinzana n vitu vilivyo wazi
  15. V

    JamiiForums Tanzania Mdomo wa Lissu haujawahi kuwa na adabu wala hekima

    Tafuta hela mkuu hujui siasa ety hamjibu kuna viongozi wako unao wafanyia uchawa wamejibu
Back
Top Bottom