Recent content by vanraj

  1. vanraj

    Nilivyogharamia harusi ya mchumba wangu bila kujijua

    Mtapewa asprin wote mpone na mrudiane. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. vanraj

    Ushauli wenu anaweza kwenda form 5

    [emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  3. vanraj

    Ushauli wenu anaweza kwenda form 5

    Akachunge ng'ombe huyu... Sent using Jamii Forums mobile app
  4. vanraj

    Ushauli wenu anaweza kwenda form 5

    Kila siku na angalia taarifa ya habari kwa sababu najua nitamuona tuu kwenye tv amefanya tukio Sent using Jamii Forums mobile app
  5. vanraj

    Ushauli wenu anaweza kwenda form 5

    Bwana advocate bana usicheke bana..hawa vijana wamekuja mtaani na matokeo yametoka watu wameshachagua kazi zao... Kama mimi nina litoto huku nyumbani tangu matokeo yametoka hajawahi kuonekana nyumbani.. Nasikia na kazi ameanza huko aliko, nimewaomba wasinitajie tuu ni kazi gani anafanya bana...
  6. vanraj

    Ushauli wenu anaweza kwenda form 5

    Nimefanya uchunguzi tangu matokeo yametoka, hakukuwa na mahala hawa watoto walifaa kushindwa... Sasa kama wanaanzia na matokeo haya huku mtaan watakuwa na matokeo gani!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. vanraj

    Ushauli wenu anaweza kwenda form 5

    Form five serekalin hapana, ila private anaweza kwenda Sent using Jamii Forums mobile app
  8. vanraj

    Ushauli wenu anaweza kwenda form 5

    Kabisa, na kama uwezo wa chuo, huyu anaweza kuwa hata mwizi... Kwanini apate F? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. vanraj

    Ushauli wenu anaweza kwenda form 5

    This has to be 4.26 i think,on government he/she won't be selected, but as for the private i he/she may get one.... Otherwise college will be the best... Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom