Recent content by Vanilla2025

  1. V

    Askofu Dallu: Kiongozi Ukistaafu ondoka, usijifanye mshauri, Serikali ina mipango yake

    Press Conferences za Hayati Mwalimu Nyerere aliziitisha akiwa bado ni Mwenyekiti wa CCM na ndicho Chama kilichokuwa kimepewa ridhaa na wananchi wa Tanzania kuunda Serikali. Hivyo, alikuwa anatekeleza wajibu wake kwa niaba ya Chama, kwa mujibu wa Katiba ya Nchi.
  2. V

    Gawio na michango ya Mashirika: Tuwe makini tusishushe ufanisi

    Nyakati ambazo misaada kutoka nje inasua-sua na huenda ikazimika kabisa huko tuendako, kilichofanyika leo kinapaswa kupewa uzito zaidi na kutumika vizuri zaidi ili hatimaye kisaidie kama moja kati ya mbinu zitakazo tuwezesha kuondoa kabisa utegemezi wa kibajeti kwenye uchumi wa Taifa letu. Ni...
  3. V

    Ripoti ya CAG: Mashirika 12 kati ya 217 yaliyokaguliwa yametumia Sh. Bilioni 371.42 katika matumizi yasiyoleta thamani kwa taasisi

    Kuna ubaya gani mkiyataja mashirika hayo 12 ya umma hapa wa-Tanzania wakayajua? Si wa-Tanzania wote wanauwezo wa kusikia, hata kama yametajwa kwenye clip, watayajuaje?
  4. V

    Ripoti ya Tume ya Lowasa kuhisu Majengo ilifanyiwa kazi?

    Sala na maombi ni muhimu. Hata hivyo, kwa kuwa hatujawahi kusikia wala kuafiki kufanyika kwa sala, dua na maombi yanayoombea wala yanayokusudia kuombea na kukumbatia uzembe; uzembe huu unaothibitika katika taarifa ya media house moja ambapo mwanahanari mmoja anadaiwa kusikika akinukuu...
  5. V

    Fedha zilizo expire kurudishwa kwenye mzunguko, kuna harufu ya ufisadi.

    Kwa kuwa kuchapisha noti mpya ni gharama tena ya pesa za kigeni ambayo hatuna ya kutosha kama Nchi, ni vyema ufafanuzi wa kina juu ya umuhimu wa hatua hii kiuchumi na kisiasa utolewe kwa uwazi kwa wa-Tanzania kabla ya zoezi hilo kuanza. Isipofanyika hivyo, wa-Tanzania ambao jasho lao ndilo...
Back
Top Bottom