Recent content by Van l

  1. V

    Nyumba ya kupanga Arusha Mjini inahitajika

    Iwe na vyumba viwili vya kulala na sebule.bei inategemea na ubora wa nyumba
  2. V

    Uchumba wangu upo mashakani

    Wasikilize wazazi na ndugu zako wanajua lipi ni jema kwako Dada japokuwa walichokifanya sio cha kiungwana,kwani mwanzoni hawakujua izo tofauti?
  3. V

    Asus mini laptop 4 sale

    unapatikana wapi mkuu hujaweka wazi ilo
  4. V

    Simuelewi mpenzi wangu

    huna chako apo
  5. V

    kuna 40,000 cash. Inahitajika simu yoyote yenye Facebook na Whatsapp

    Nokia asha 303 ongeza ifike 80
  6. V

    Mini laptop inahitajika

    Nakuongeza 20 tufanye biashara
  7. V

    Mini laptop inahitajika

    mane no mkali ya nni,kuwa mstaarabu
  8. V

    Mini laptop inahitajika

    iwe Na 320 HDD Ram2gb webcam iwe inakaa Na charge at least Masaa 6 bajet ni 300000 laptop inahitajika Dodoma
  9. V

    hellow

    nawasalimu wote
  10. V

    Tecno p3 inahitajika

    budget ni sh 80000 nipo dodoma kwa aliyetayari tuwaciliane
  11. V

    Mimba yangu jamani

    so cory najua hw much inapain too bad na mm yakwangu imeshaaribika nipo na machungu tele apa nilipo cz mipango yngu yte imearibika
  12. V

    Mimba yangu jamani

    thnkyu nilikuwa nayo kwel ila kwa ssa ndio ivyo
  13. V

    Mimba yangu jamani

    nashukuru kwa ushaur jaman nimeenda hospital nimeambiwa cio tatizo sna ila nina takiwa nipate muda mwingi wa kupumzika na kuepuka kazi ngumu ili mimba icitoke
  14. V

    Mimba yangu jamani

    Yan naogopa sna anyway thnx kwa ushaur
Back
Top Bottom