Saidia fundi ndo nimetoka kuipiga hapo nilipo andika kidogo nivunje mguu,, ilikua nje ya geita mjini tuliweka kambi baada ya msingi kuisha saidia fundi tukawa wengi Kila fundi akabaki na saidia fundi wake mm nikakosa nikarudi town, nikamcheki mwanangu mmoja ambae ananicheka kwenda kwenye KAZI...
Si kwamba nabagua KAZI bro, sokoni unaenda una mface nani.? Kama alimaanisha kubeba zile gunia za mahindi begani hizo siwezi mkuu niwe mkweli tu. Ila kama alimaanisha vinginevyo basi anieleze nikifika sokoni nafanyaje fanyaje kupata kazi au biashara.
Asante mkuu Kwa ushauri, huko upande wa pili ndiko nako patafuta.. najitahidi kupambana na kuomba Kazi Kwa tasisi au michongo ya KAZI Kwa watu Kwakua sasahivi Sina hela ya kusema acha nibadili biashara. Cha msingi nahitaji maombi yako mkuu Mungu nisaidie nipate kazi
Mkuu Kwa current situation mm Sina pesa Wala chochote wakati huu nina majukumu ya kifamilia. Oky achana na gharama za ununuzi wa shamba, achana na gharama za ununuzi wa mifugo . Nikuuliza mfano ndo nimepata pesa ya kununua shamba na mazao nikaingia shamba Leo, unanihakikishia kesho nitapata sh...
Duh ushauri mwiiiingi wa kuhusu riba kumbe destin yake ilikua niende sokoni nitapata cha kufanya. Any way sawa sokoni pale siwezi kwenda maana nataka sehemu nitakayo pata uhakika wa kupata hata ya hela ya mboga
Kama we mwenyeji hapo basi utakua familia sana, Kuna mwl mmoja alikua anaitwa mwl magesa mkewake anafanya KAZI mahakamani unampata.? Naomba nikuchek PM
Hapana mkuu bahati mbaya nina circle ndogo ya marafiki. Ambaye yupo vizuri ni yule bro alie niitia nikamsaidie kazi kule pori. Yeye naye ana vipengele vyake Bado hajasimama anajitafuta.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.