Angefuata rafiki yake Ndugai Kwa kukaa Hotel ya Nyota 5 na familia na wapambe wake miezi 5 Kwa gharama za Serikali ya Magufuli akitibiwa India. Gharama hizo na za usafiri na matibabu zinafichwa na Serikali ili wananchi wasizirai. Nyerere alikodisha nyumba ndogo karibu na Hospitali alikuwa...
Hazikuwa sherehe za miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika, zilikuwa sherehe za mafanikio ya miaka 60 ya Rais wetu mpendwa Mama yetu Samia Suluhu Hassan na maendeleo ya walinzi wake.
Alikuwa anashangaa kama Mimi Mzalendo kushuhudia maendeleo ya miaka 60 ya Uhuru wa nchi ya viwanda kuonyesha tu maendeleo ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama bila kuonyesha hata Kiwanda kimoja kati ya 4000 vya Mwijage. Mwijage hata kutambulishwa alirukwa!
Mwislam akinitembelea nyumbani kwangu nikampikia kitimoto atanishukuru sana kwa ukarimu wangu lakini ataniambia kwa unyenyekevu kabisa kuwa dini yake inakataza kula nyama hiyo na ataomba wapewe watoto wale sisi tukiendelea na mazungumzo yetu. Baada ya mazungumzo yetu tutaagana kirafiki kwa...
Wako wengi hao walitupiwa tu magwanda ya Polisi bila kufika CCP ndo maana hawajui hata yaliyomo kwenye PGO. Mtoto wa mfanyakazi au wa mkulima hawezi kupata kazi huko hata kama ana PhD ya nguvu. Bila jina hakuna kazi wala uteuzi wa nafasi yo yote!
Ukiona Rais wetu mpendwa yeyote anahudhuria sherehe za kuapishwa Rais wa nchi nyingine ameongozana na Kibajaji Mshauri Mkuu anayejua kusoma na kuandika ujue kuna tatizo tena kubwa sana.
Dunia ni kijiji hakuna anayeweza kusingizia uwongo mwanakijiji jirani maana yeye ndo ataonekana kuwa mwongo Kwa sababu wanakijiji wote wanajua ukweli. Mwakajana tu Mkuu wa Mbuga za Utalii nchini alikiri kuwa Watalii wanaotembelea Mbuga zetu huwa hawarudi tena kama wanavyofanya nchi nyingine za...
Amehamisha Jeshi la Polisi lote kushughulikia siasa kuwakandamiza CHADEMA kwa kuwabambikizia kesi na kuwatupa mahabusu bila kosa lolote akiacha uhalifu ukiongezeka kwa kasi ya ajabu ikiwa ni pamoja na mauaji ya kutisha. Intelligentsia ya Polisi aliyokuwa anajigamba kuwa na uwezo wa kuwabaini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.