Recent content by valour

  1. V

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna siri gani kati ya Makonda na hawa GSM? Au ni mvuto tu?

    Accroding to GSM, kiwanja amenunua 2013. Viwanja vya maeneo hayo vimetolewa kwenye miaka ya 70, hiyo ina maana GSM alinunua kwa mwenye kiwanja cha awali. Inabidi tujue kilikuwa cha nani kabla. Hii kesi ni ngumu GSM anaweza kuwa ana title kwa jina lake lakini ni mara ngapi mtu ukanunua kiwanja...
  2. V

    JamiiForums Tanzania Mnaotetea Rais Magufuli kutohudhuria mikutano mikubwa ya kimataifa someni hapa

    Na picha ya Kenyatta ingekuwa moja kama ilivyo kwa mama Suluhu tungeelewa zaidi. Kwa sasa inaonekana hakuna uhusiano kati ya picha ya Kenyatta na hao wazungu. Sidhani kama kulikuwa na ugumu wowote kupiga picha moja.
  3. V

    JamiiForums Tanzania Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?

    The worst anaylsis ever The worst analysis ever
  4. V

    JamiiForums Tanzania Tuacheni Kumlaumu Rais Kuteua Wanaume, TZ Hatuna Wanawake Wenye Sifa na Vigezo vya Kuteuliwa!

    Wanaume ndio wana vigezo vya kuteuliwa. SHAME Sasa kama ulisoma shule na wanawake wasiojiongeza ndio u conclude kuwa wanawake wote hawajiongezi mpaka wasukumwe na mijeledi. Yaani nimekushangaa sana maana hapo umemtukana mama yako moja kwa moja. Yaani una tabia ya Makonda poor brought up. Huna...
  5. V

    JamiiForums Tanzania Kwaheri Jenerali Davis Mwamunyange

    Kama amezaliwa mwaka 1959 kwanini astaafu sasa? Sidhani kama huwa mwaka ni sahihi.
  6. V

    JamiiForums Tanzania Prof. Mwandosya atoa ufafanuzi juu ya elimu yake

    Mleta mada alitakiwa aseme kuwa Prof. Mwandosya anamjibu Malisa aliyesema kwamba Profesa Mwandosya alipata cheti cha ufundi halafu akaenda Chuo Kikuu cha Aston Uingereza, akijaribu kuhalalisha watoto wa Form IV kwenda UDOM moja kwa moja. Nadhani Prof. ameisikia ndio anatoa ufafanuzi sio kwamba...
  7. V

    JamiiForums Tanzania Sura 4 za Rais Magufuli baada ya kutumbuliwa Kitwanga

    There is no contradiction at all, if there is one just point it out. Wewe umesema Rais anawaona wajinga, nami nime confirm ndiyo maana mnataka aendeshe nchi mtakavyo nyinyi. Bahati mbaya hawezi kufanya hivyo
  8. V

    JamiiForums Tanzania Sura 4 za Rais Magufuli baada ya kutumbuliwa Kitwanga

    Ni kweli Magufuli kawaona wajinga ndio maana amekaa kimya. Anajua fika Kitwanga hahusiki asilimia 100% kwenye sakata la Lugumi ndio maana wala hakujigusa. Sakata la Lugumi limetokea mwaka 2011 yeye hakuwa waziri wa mambo ya ndani. Ni kweli Kitwanga, ana ubia Infosys lakini toka aingie kwenye...
  9. V

    JamiiForums Tanzania Anne Kilango Malecela anena haya baada ya taarifa ya kuenguliwa nafasi yake

    Really sad! Sijui tunaelekea wapi? Inashangaza sana shida ya mtu furaha ya wengine na kushabikia wasichokijua. Mungu atusaidie
  10. V

    JamiiForums Tanzania Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34

    Watu hawataki ukweli ndio maana wana hukumu na wameshasema ukweli ndio huu kwahio hata ukweli ukisemwa watasema wamehonga. Siku zote ukweli utajulikana tu sooner or later. Kwa kweli watanzania wengi ni wa kuhurumia, kushabikia vitu wasivyovijua na shida za watu ni furaha yao. Hivi kwa hali ya...
  11. V

    JamiiForums Tanzania Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34

    Hilo ndio tatizo ukishaamua unachojiaminisha ndio hicho hata ukiambiwa ukweli. Mlichoamka nini zaidi mnaendelea kulala tu. Mimi hata siku moja siwezi kushabikia habari ninayoipata bila kuifanyia utafiti. Kosa la kwanza la mwandishi, mkurugenzi wa NIDA sio owner wa Infosyis. Sasa kama watu...
  12. V

    JamiiForums Tanzania Anne Kilango Malecela anena haya baada ya taarifa ya kuenguliwa nafasi yake

    Nakuunga mkono kabisa. Yaani inasikitisha sana kwa sasa, watu utu umewatoka kabisa, tabia gani ya kushabikia shida ya mtu. Mungu awasamehe na kuwasaidia wote wanaofurahia
  13. V

    JamiiForums Tanzania Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34

    Nimesoma comments za watu wengi humu ndani nimegundua wana conclude na kuhukumu kabla hata ya kupata upande wa pili wa habari. Watanzania sasa hivi tumekuwa watu wa ajabu tunapenda na kufurahia watu wakipata shida, wakifukuzwa kazi, wakipelekwa mahakamani na kupata mateso. Sijui hata tunaelekea...
  14. V

    JamiiForums Tanzania Rais hana mamlaka ya kupunguza mshahara wa mtumishi yeyote

    Posts ni nyingi sijaweza kuzisoma zote lakini labda nitoe mtazamo wangu. Lazima tuelewe hawa wanaolipwa hii mishahara kuacha labda gavana wa benki kuu, wengi wao sio watumishi wa serikali. Rais mstaafu JK kwa kuona 'hakuna watumishi bora' serikalini wanaoweza kuendesha taasisi hizi aliwatafuta...
Back
Top Bottom