Recent content by valentino nakua

  1. valentino nakua

    069 ni namba ya mtandao gani hapa Tanzania?

    Habari, hii namba ni ya mtandao gani ‪+255 612
  2. valentino nakua

    Inakuwaje simu ukipiga unajibiwa inatumika na wakati haitumiki kwa wakati huo?

    Nimekusoma nitarekebisha Sent using Jamii Forums mobile app
  3. valentino nakua

    Inakuwaje simu ukipiga unajibiwa inatumika na wakati haitumiki kwa wakati huo?

    Ok, nitaijaribu kuiondoa hiyo blacklist. Lakini onaonyesha kunifahamu sana, ila mbona sikujui. Fanya intro basi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. valentino nakua

    Inakuwaje simu ukipiga unajibiwa inatumika na wakati haitumiki kwa wakati huo?

    Habari zenu wana JF, naombeni msaada, simu yangu (handset) aina ya BONTEL yenye line ya airtel watu kila wakinipigia wanajibiwa inatumika tu, na wakati si kweli. Pia nikiotoa line na kuiweka kwenye handset nyingine tatizo halipo, yaani napatikana. niliformat yaani factory setting, hata hivyo...
  5. valentino nakua

    Naomba ushauri wa lishe kwa mtoto

    ahsante kwa ushauri, pili pili manga inasaidia nn kwa mama anayenyonyesha? pole usinichoke kwa maswali nahitaji kijua. ahsante Sent using Jamii Forums mobile app
  6. valentino nakua

    Nina tatizo kuhusu mashine yangu ya copy

    pcb serial number ndio nn mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. valentino nakua

    Nina tatizo kuhusu mashine yangu ya copy

    ujumbe umeutuma kwenye pm yangu, pm ndio nn? pole sijakuelewa mkuu. nijuze ili nikufuatilie Sent using Jamii Forums mobile app
  8. valentino nakua

    Naomba ushauri wa lishe kwa mtoto

    Ahsante nimekusoma mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. valentino nakua

    Naomba ushauri wa lishe kwa mtoto

    Ahsante nitakutafuta Sent using Jamii Forums mobile app
  10. valentino nakua

    Naomba ushauri wa lishe kwa mtoto

    Habari zenu wataalam mbalimbali wa kundi hili la Jf. Ninaomba msaada wa kushauriwa. Nina mtoto wa miezi 5. Tokea azaliwe hajawah kula chochote zaidi ya maziwa ya mama, na lengo langu hadi atimize miezi 6 kama inavyoshauriwa. Hadi sasa nimeshindwa kusubiri mwezi wa sita kwa kuwa maziwa ya mama...
  11. valentino nakua

    Nina tatizo kuhusu mashine yangu ya copy

    Mkuu nipo mkoa wa Lindi, mashine ni mpya, sijabadilisha kifaa chochote. tatizo limeanza kama ifuatavyo:mashine ilikuwa inafanya kazi, ghafla umeme ulikatika na baada ya dakika kadhaa ukarudi tena. kujari kuendele na kazi mashine iliwaka na ikamaliza kwenye uwakaji, mara ikatokea hizo code error...
  12. valentino nakua

    Nina tatizo kuhusu mashine yangu ya copy

    Habari zenu wana JF, nina tatizo linaniumiza kichwa sana na hadi leo hii bado tatizo lipo. nina mashine ya copy ni CANON:IR.2206 imegoma kutenda kazi. Kwenye display inajiandika error halafu inaonesha E350-0000 naomba msaada kujua tatizo. Natanguliza shukrani.
  13. valentino nakua

    Hoja kuhusu mtando wa simu

    Habari za.asb, Nashukuru kwa maelekezo. Ni kweli niliingia setting hadi cell broadcast messages na kuweka off. Hadi sasa sijaona tena zile sms zikiingia. AHSANTE SANA mtaalam WICK
Back
Top Bottom