Recent content by vaistev

  1. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

    Dah wanawake bhana mumewe anatumia kinga ila mwalimu wa kwaya anapewa kavu
  2. V

    JamiiForums Tanzania Ni sawa kumpeleka mtoto wa miaka minne boarding?

    Kwema wakuu! Nina binti wa miaka minne ambae nimeamua kumpeleka boarding kutokana na kukosa maelewano mazuri na mzazi mwenzangu hali iliyopelekea nitengane nae na kubaki na mwanangu. Niliamua kuchukua uamuzi huo baada kutokana na mda mwingi kuwa bize na kazi na kukosa mda wa kutosha kukaa nae...
  3. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wanajisahau sana, huyu dogo atarudi kwao na shangazi kaja pekee

    Kwakweli
Back
Top Bottom