Askofu Gwajima amemsisitizia Bulembo kuwa aache kwani akirudia atamlazimisha awalipue na wale waliomtuma kitu ambacho sio kizuri kwani kitasababisha nchi itikisike na macho yao yatoke moshi wasiamini. Askofu Gwajima aliwaomba watu wa ccm waliohudhuria ibada yake wampelekee ujumbe huu kumtaka...
Amemsisitizia kuwa aache kwani akirudia atamlazimisha awalipue na wale waliomtuma kitu ambacho sio kizuri kwani kitasababisha nchi itikisike na macho yao yatoke moshi wasiamini na kuona pakujishika.
Askofu Gwajima aliwaomba watu wa CCM waliohudhuria ibada yake wampelekee ujumbe huu kumtaka...
Askofu Mkuu wa kanisa la Ufufuo na Uzima Dr Josephat Gwajima leo hii kwenye ibada yake Amelazimika kumuonya Abdalah buhembo kutokana na kumchokoza kwenye kampeni za ccm hapo jana mkoani Singida kitu ambacho hakikumfurahisha kutokana na jinsi alivyoongea. Amesema abdalah akiendelea hatamjibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.