Recent content by Uzima Tele

  1. U

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anajitoa Kafara au anapigania Haki?

    Hakuna kitu cha thamani duniani na mbinguni kama mtu kulinda UTU na HESHIMA yake kwa sbb hizi ndizo sifa za Mungu aliyetuumba kwa mfano wake Yesu Kristo uliyemtaja hapa alilinda UTU na HESHIMA ya binadamu ndiyo maana alikubali kufa kwa ajili ya sisi wengine wote ukiwemo wewe mleta mada Kwa...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Serikali na Samia sio Wajinga kukubali kushindwa kwa "NO CASE TO ANSWER" kwa sababu zifuatazo

    Kimsingi kesi ya Tundu Lissu imeshaisha. Lakini CCM, Samia na serikali yake kupitia DPP sio wajinga kuruhusu aachiwe tu kwa "NO CASE TO ANSWER" kwa sababu; 1. NO CASE TO ANSWER ingemaanisha au kuthibitisha madai ya kuwa kumbe ni kweli kesi hii ilikuwa ni ya kutunga. #Mahakama za bongo hazina...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Polisi Bariadi wafafanua video ya Askari na Bodaboda aliyekuwa na Magunia ya Alizeti

    1. Hivi ni kwanini statement hii ya ufafanunuzi itokee kwa Polisi walioko Dodoma wakati tukio limetokea mkoa wa SIMIYU wilaya ya ITILIMA Kijiji cha NKOLOLO? 2. Mkoa wa SIMIYU una RPC na tukio limetokea mkoani mwake. Wilaya ya ITILIMA ina OCD na tukio limetokea ndani ya wilaya yake. Kwanini...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Prof Mark Mwandosya: Gereza ni chuo cha mwanasiasa nguli na madhubuti. Kutoka ni kuhitimu shahada ya uzamivu!

    Na Emily Mwakilembe Katikati ya hofu, kuvunjika moyo na giza la kisiasa, wakati mwingine hutokea mtu anayethubutu kuisema kweli chungu sana, ile ambayo wengi huogopa kuisema. Mwaka 2018, Profesa Mark James Mwandosya alipomtembelea nyumbani kwake Joseph Mbilinyi (Sugu), baada ya kutoka...
  5. U

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ni wapi kwingine walioshinda uchaguzi kwa 98% hufanya maridhiano??

    Mimi nilikuwa msimamizi mkuu ktk Moja ya kituo kata ya Ngokolo -Shinyanga Manispaa Kituo chetu kilikuwa na registered voters 428 Hadi inafika saa 10:00 jioni siku hiyo, ni wapiga kura 31 tu ndo walifika na kupiga kura siku hiyo!! Tulipopeleka matokeo yetu kwa Returning Officer (Mtendaji wa...
  6. U

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ni wapi kwingine walioshinda uchaguzi kwa 98% hufanya maridhiano??

    Mimi nilikuwa msimamizi mkuu ktk Moja ya kituo kata ya Ngokolo -Shinyanga Manispaa Kituo chetu kilikuwa na registered voters 428 Hadi inafika saa 10:00 jioni siku hiyo, ni wapiga kura 31 tu ndo walifika na kupiga kura!! Tulipopeleka matokeo yetu kwa Returning Officer (Mtendaji wa Kata)...
  7. U

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watanzania, Tundu Lissu akitoka gerezani mko tayari kuridhiana?

    Uhuru wa Tundu Lissu dhidi ya mwanamke katili, mpuuzi na muuaji Samia Suluhu Hassan sio business transaction Tundu Lissu sio biashara ya ujinga unaoitwa maridhiano. Tundu Lissu anapaswa kuwa nje akiendelea na maisha yake, na shughuli zake. Hayo mengine ni ya Samia Suluhu Hassan na wapuuzi...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa TCD: Zuio la mikutano ya vyama vya siasa ni halali kwa sababu CHADEMA wanamsema vibaya Rais Samia na Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba!

    Duuh, sijui hata kama anajielewa huyu. Na kwa lafudhi yake, ni kama wa kulekule Kizimkazi - Zanzibar. Anamtetea Mzanzibari mwenzake Samia lakini bila hoja, ili mradi anapanua mdomo tu kusema Anapiga kelele tu badala ya kujibu na kutetea hoja zake Tulijua na tulisema, hapa mlengwa ni CHADEMA...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya CHAUMMA Yawasilisha Waraka wa Kutokuwa na Imani na Salum Mwalimu

    Pesa za kupewa na TISS na CCM kwa mlango wa nyuma haiwezi kuwa ni "mapato ya chama" cha CHAUMA Hizi yeyote anayeweza kuziwahi na kuzipokea zinakuwa ni halali yake Salumu Mwalimu na Yericko Nyerere wamewazidi ujanja wenzao Na ofcoz, pesa za hongo daima haziwezi kuwa mapato halali ya taasisi...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Tetesi: JasusiTV: Hatimaye yamekuwa. Hoja ya kum - impeach VP Dr Emmanuel Nchimbi yaweza kusomwa wakati wowote katika bunge hili la bajeti!

    Huyu mama na washauri wake nadhani ni hamnazo, hawana akili wala maarifa! Ni kama wamechanganyikiwa kiasi cha kutotambua wafanye nini, wapi na wakati gani Hivi kweli katika wakati huu mgumu walionao CCM na serikali yao ni wakati sahihi kweli wa kufikiria kumfukuza Vice President Dk Emmanuel...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Tetesi: JasusiTV: Hatimaye yamekuwa. Hoja ya kum - impeach VP Dr Emmanuel Nchimbi yaweza kusomwa wakati wowote katika bunge hili la bajeti!

    Haa🤪🤪 Jamaa wanasema "HAFUKUZIKI" maana njia ya kumkimbiza na kumfukuza imejaa miiba, nge na majoka ya sumu kalikali https://youtu.be/oQXAmlOk9OM?si=fdhz88eyz_pc45oO
  12. U

    JamiiForums Tanzania Jaji Mstaafu Othman Chande: "Waliokatwa majina yao" ndio waliohamasisha na kuchochea vurugu na mauaji ya Oktoba 29

    Wanaficha ukweli, na kwa kiburi chao wanazidi kutengeneza chain ya uongo inayowavuta kuelekea chini kuzimu. Na walivyofungwa akili na ufahamu wao wanadhani kuwa kwa kuzidi kuufukia ukweli kwa uongo basi huko ndiko kujiokoa kwao na makosa na dhambi zao.... WAMEKOSEA, SIO HIVYO.....!! Mungu...
  13. U

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Kuna kijana Usariver alipewa shilingi 50,000 na kuahidiwa Tsh. Milioni 5 ili ashiriki (maandamano)

    Kama mtu aliyekuwa Jaji anaweza kutengeneza uongo wa Wazi Wazi kiasi hiki, hivi wakati akiwa kazini kama Jaji anaweza kuwa aliwahukumu watu wangapi kwa sbb za uongo tu? Mungu Yehova, Baba wa Bwana na mwokozi wetu Yesu KRISTO, msamehe tu huyu Mzee na wenzake... Yaani mtu apewe 50,000, halafu...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya rufani yairuhusu CHADEMA kuendelea na shughuli za kisiasa nchini

    You have a problem called "fear of unknown". You fear something which know nothing about Find an opportunity to see a doctor to examine your mental health before it's late Your hallucinations can't be justified Here is my advice 👇👇 Stop being paranoid Stop hallucinating things
Back
Top Bottom