Recent content by Uwoga ni dhambi

  1. U

    JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri, nataka kufanya biashara ya daladala. Wazoefu naomba ushauri

    Nataka kuingia kwenye biashara ya daladala, lakini nahitaji ushauri wa wazoefu. Kwa walio kwenye biashara hii, ni mambo gani muhimu ninayopaswa kuzingatia kabla ya kuanza?
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wafanya biashara wengi wa dala dala wamepaki gari zao? Je, hii biashara hailipi?

    Nina uliza kwa sababu na mm nataka kuingia huko
  3. U

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wafanya biashara wengi wa dala dala wamepaki gari zao? Je, hii biashara hailipi?

    Ukipita hapa mjini na ukiangalia maeneo ya kupaki magari na vituo vya mafuta utakuta dala dala nyingi ziko hoi. Wengi wamepaki na zimeharibika. Tatizo ni nini???
  4. U

    JamiiForums Tanzania ALI Happi kauli yako kuwa Chadema wana Pepo Mchafu ni dharau kwa Chama Hicho na wanachama wake.

    Yaani unawaita CHADEMA ni "watukutu wenye pepo mchafu" halafu unataka waitikie wito wa mazungumzo! Leo Agosti 12, 2026, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Taifa, Ally Hapi, ametoa kauli akiwa Kilosa mkoani Morogoro akiwataka Maaskofu wa TEC kuwaombea viongozi watukutu wa CHADEMA ili "pepo...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Heche kwa BAVICHA Jijini Dodoma ni moto wa kuotea mbali. Heche angekuwa na Bei CCM wangempa hata Bil 1

    Nashukuru wengi mme elewa hoja yangu kuu
  6. U

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Heche kwa BAVICHA Jijini Dodoma ni moto wa kuotea mbali. Heche angekuwa na Bei CCM wangempa hata Bil 1

    Ukimsikiliza kwa makini Heche anaeleweka sana. Amejenga ushawishi mkubwa sana hapa Tanzania. Ni hakika Heche ni tatizo la CCM. Ni Hakika Heche ni Tunu ya Taifa. Vigogo wa Chadema mliojipanga kufanya fujo acheni huo mchezo. Kwa Heche mtaumbuka. Umma uko na yeye na Mnyika. Lissu anamkubali.
  7. U

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Lema kulikoni kwenye mkutano mkuu wa Bavicha sijaona bashasha zako za siku zote?

    Leo Kwenye mkutano mkuu wa Bavicha Taifa mjini Dodoma Lema alipewa fursa ya kuongea. Hata hivyo kuna vitu viwili sikuviona. 1. Aliongea na kwa muda mfupi sana na hakukuwa na presha ya kuharakishwa kumaliza. 2. Hakuongea kwa moyo kama desturi yake. Aliongea kama mtu ameandi
  8. U

    JamiiForums Tanzania Serikali yetu ya Tanzania inatambuliwa na umoja au taasisi gani duniani? Wizi wa kura au mauaji hayakutokea 2001? Why today

    Naona muda unavyozidi kwenda watu wanazidi kuamka. Na janga la oct 29 na 2001 kweli ha Havifanani
  9. U

    JamiiForums Tanzania Serikali yetu ya Tanzania inatambuliwa na umoja au taasisi gani duniani? Wizi wa kura au mauaji hayakutokea 2001? Why today

    Hili ni swali la kutafakari very objectively. 1. Serikali yetu ya Tanzania inatambuliwa na umoja gani hasa? Umoja wa Ulaya, Marekani, Umoja wa Afrika, SADC, Jumuiya ya Madola na taasisi nyingine za kimataifa zimekuwa na misimamo au hoja mbalimbali kuhusu uchaguzi na matukio ya kisiasa nchini...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Democratic (USA) walitumia mahakama kumthibiti Trump, naye akatumia mahakama kujijenga kisiasa, Akashinda. CCM Jifunzeni

    Wakati mwingine tujifunze kwa mifano hai. Chama tawala cha Democrats 2020 -2024 walitumia mahakama kumwangusha Trump kisiasa. Trump alishtakiwa kesi 4 na mashataka karibu 100. Trump akageuza uwanja wa mahakama jukwaa la kisiasa la kutafuta huruma ya Wamarekani. Trump Akashinda uchaguzi na kesi...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Lissu kwa Heche imezima kabisa ndoto ya vigogo wa CHADEMA waliopanga kumvuruga Heche kupitia Baraza Kuu

    LIssu anasoma magazeti kama mshtakiwa wa kisiasa. Anajua fitina zinazoendelea. Lissu anajua mapandikizi ya Serikali ya CCM walioko kwenye chama chake. Kauli aliyomwambia Heche mahakamani kwamba "UNAFANYA KAZI ILIYOTUKUKA" Siyo kauli ya bahati mbaya hata kidogo. Ni ujumbe aliotafakari na...
Back
Top Bottom