Recent content by uwesuporoto

  1. uwesuporoto

    Tundu Lissu hana busara lakini ana akili nyingi mno!

    Kama nimekuelewa vilee Sent using Jamii Forums mobile app
  2. uwesuporoto

    Hospitali imeshindwa kutibia tatizo langu

    Niliipoiweka picha moja kwa moja huku ilikataa ndipo nikaamua kuipost fb alafu nikaicopy link na kuipest huku. Maana situmii jf app bali natumia kwa freebasics
  3. uwesuporoto

    Hospitali imeshindwa kutibia tatizo langu

    Na hata nilipokwenda hispitali kwa mara ya kwanza dokta alaniambia kuwa nina kaswende pia.
  4. uwesuporoto

    Hospitali imeshindwa kutibia tatizo langu

    Sawa. Nipe muda kidogo maana niliviweka mbali
  5. uwesuporoto

    Hospitali imeshindwa kutibia tatizo langu

    Wakati najiunga na jamiiF niliambiwa kuwa kuna madokta pia. Sijui na wewe humo??
  6. uwesuporoto

    Hospitali imeshindwa kutibia tatizo langu

    Hiyo syphilis ni nini? Maelzo kama hautojali
  7. uwesuporoto

    Usipuuze pitia hapa msaada wako ni muhimu

    Habari zenu viongozi na madokta JF shida iko hivi;- Ni baada ya kupigwa sindano nane kwa wiki 4 bado tatizo lipo na ndio kwanza linazidi. Tatizo lipo hivi;- Nibaada ya kutembea na duu mmoja hivi kama miezi mitatu iliyopita nikaanza kusikia muwasho wa ndani ya mdomo wa uume. Nikatatufuta ushauri...
  8. uwesuporoto

    Hospitali imeshindwa kutibia tatizo langu

    Ni baada ya kupigwa sindano nane kwa wiki 4 bado tatizo lipo na ndio kwanza linazidi tatizo lipo hivi;- Nibaada ya kutembea na duu mmoja hivi kama miezi mitatu iliyopita nikaanza kusikia muwasho wa ndani ya mdomo wa uume. Nikatatufuta ushauri nikaambiwa nitumie azuma nazo haziku saidia nikaenda...
  9. uwesuporoto

    Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Kuacha nyeto ni kama kujipa taraka. Au kuoa jirani alafu umuache siku ukiwa na nyege na yeye ndo anakatisha. Labda nikuambie kitu. Shida ya kuacha nyeto ipo FB. Ukikatiza kwa post tatu ya nne tupia namba nikuunge kwenye group langu la wakubwa tu, basi ukiona tangazo ilo chini kuna lazima iwekwe...
  10. uwesuporoto

    Hakuna ugonjwa wa UKIMWI

    Hatusemi ugonjwa hakuna bali ugonjwa upo ila hauambukizwi kwa njia ya kujamiiana hapa namaanisha (HIV) Ila tunachosema sisi huu ugonjwa ni matokea ya kutumia ARV kama haukunielewa anza kumpa vile vidonge nguruwe kimoja kimoja kwa mwezi mmoja alafu acha kumpa je utagundua nn
Back
Top Bottom