Recent content by uwane

  1. U

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa NIDA Igunga ana lugha mbaya kwa wateja

    Ndio waonywe baadhi wanajiona utafikir ndo bora zaidi . ukiona ivo ujue wamesoma kwa shida (wamesomeshwa na ukoo) na elimu ya kuunga . hao wanaowadharau ndo kod zao zinawalipa salary
  2. U

    JamiiForums Tanzania Nausikilizia mwili wangu Kama simu

    Mawazo pia yanakondesha xo kapime uwe na uhakika, halafu vvu xo mwisho wa life. Mbona wanaish muda mrefu, mzima anaweza kufariki muda wowote na kwa sabab yoyote. MTEmbelee mwanasaikolojia kwa msaada zaid, pole xana mkuu uskate tamaa. Taifa, jamii na familia inakutegemea
  3. U

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tofauti ya mshahara wa mwalimu na mtangazaji

    Mkuu inategemea na working studio
  4. U

    JamiiForums Tanzania HIVI ULISHAWAHI KUWA NA TABIA YA KUMTAFUTA MPENZI WAKO ULIYEACHANA NAE BAADA YA KUPATA PESA

    Mh soma nyakati mkuu, mapenz ya kwel hayana msimu
  5. U

    JamiiForums Tanzania Nakukumbusha mambo 50 kuhusu mkeo

  6. U

    JamiiForums Tanzania Nakukumbusha mambo 50 kuhusu mkeo

    Mh kwel unatekeleza yote? Au nyimbo zao hotubani?
Back
Top Bottom