Hapo wangewatafuta na wafanyabiashara Wadogo tupate testimony ya jinsi wanavyochangia hata Kwa kuficha sura zao . Hii itamaliza mchezo wote , watu watakiamini zaidi na wafanye kwa mikoa yote.
Bei ya mafuta nchini huathiriwa na vitu kadhaa
1. Bei ya dunia (global price)
2. Kodi na tozo za ndani
3. Gharama za usafirishaji na uagizaji
4. Mfumo wa manunuzi mfano zabuni
Kwa hiyo, Kupanda kwa dunia ni sababu, lakini bei ya mwisho kwa wananchi inaamuliwa pia na sera na tozo za serikali.”
Hakuna anayesema kodi zote zifutwe, bali zinapunguzwa pale zinapoumiza wananchi. Serikali nzuri hupima athari ya kodi kwa maisha ya watu, si kuzitetea tu bila kuangalia uhalisia wa uchumi.
Kuna mtu alikufa alipofika mbinguni akaona saa nyingi za mshale ukutani, akamuuliza malaika hizi za nini ?
Akamwambia hizo zinahesabu dhambi, ikizunguka mara moja dhambi moja
Kulikuwa na saa moja haizunguki akauliza mbona saa moja haizunguki?
Akamwambia ile ni ya nabii Musa hadi anakufa...
manabii wazuri wapo na matapeli wapo pia , maana Mungu amewaweka kwa kusudi lake . Maana imeandikwa watakuwepo it means wantakiwa kuwepo vinginevyo angewaondoa . Sisi ni kwenda na kumjua Mungu kwa roho na kweli na yeye atatuongoza. Yesu alisema anatuletea roho mtakatifu na sisi hatumtaki ...
KUKOJOA KITANDANI : mimi ni mtu wa utafiti naweza nikakubali au nikakataa lakini kunasehemu nataka kukuamini kwani kuna watu walikuwa na katabia kama hizo ni kweli wapo kiroho zaidi , aidha ni watumishi wa Mungu au wa shetani , yaani ni waganga. lakini code nyingine ni .
1. kukataliwa
2...
Hawa TEC huu ni utaratibu wao wa mambo ya kitaifa makubwa kuyatolea Maelezo . Sasa wakitoa huwa hawana upendeleo kwa sababu wanaamini wanahubiria na kuwatumza kiroho watu wa kaliba zote . Itanichukua muda Sana kufikiri haya unayosema.
Yes
Yes naunga mkono hoja, professa mihanjo na Kina mahiga wangekuwepo wangetupa uelekeo . Aidha nafikiri mihanjo yupo nilisikiliza one say mahojiano yake on YouTube alisema vitu ambavyo ninaviona , nanukuu " ccm isjibweteke sasa hivi SIASA inetawaliwa na vijana na kwa sababu ya mitandao kuna...
Kama wakuu wanaona kuna haja ya kudhibiti inakuwaje usione kuna kitu kikubwa kinaenda kutokea . Majeshi yapo yanafanya mazoezi . Kikawaida haya ambayo hayana kiongozi ni mabaya Sana kuliko yanayoongozwa
Aisee ! Ndiyo maana mwanangu aliniuliza swali tata kabisa , eti baba hivi ni Kwanini jua linatoka mchana wakati usiku ndiyo Kuna giza.. nafungua JF nakutana na nyingine . Kwa sasa Kila mtu atachanganyikiwa kwa muda wake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.