Search results

  1. U

    Hii ndio nafasi ya Medeama kwenye ligi ya kwao, kumbe ni vibonde!

    Akishinda viporo vyake 4 ataongoza ligi.
  2. U

    Kwa mwendo huu, Bima ya Afya kwa wote itakwama

    Bima ni mkombozi mkubwa, inatufanya tutafute huduma sahihi wakati wa uhitaji pasipo kujari gharama. Wekeza kwenye BIMA kuponguza gharama na kuwa na uhakika wa matibabu sahihi wakati wa uhitaji
  3. U

    Kwa mwendo huu, Bima ya Afya kwa wote itakwama

    Huu nao ni mtazamo. Sehemu nyingine wanaita nadhalia. Tuendelee kutafuta ukweli sahihi.
  4. U

    Kwa mwendo huu, Bima ya Afya kwa wote itakwama

    Hapo naweza sema ni suala la uelewa tu mlitofautiana, Kama alikuwa na appointment ya kurudi kwa follow up huwa mwezeshaji hakutakiwa kukuzuia, so si NHIF wenye makosa
  5. U

    Kwa mwendo huu, Bima ya Afya kwa wote itakwama

    Kila kitu kina utaratibu wake, ukisoma vizuri maelezo ya vifurushi vya Bima, inakuonesha huduma unazo weza kuzipata kupitia kifurushi ulichochagua, idadi ya vipimo unavyoweza vipata kupitia hkifurushi hicho na vituo vya huduma na wameelekeza kuanzia ngazi ya chini Hadi Hospitali ya Taifa lakini...
  6. U

    Nataka kuwa mwanasiasa

    Kama Hadi muda huu hujajua ni wapi patakifaa, maana yake hufai kuingia kwenye Hilo tamanio, maana yake hujui agenda za vyama vilivyopo nchini. Ni vema ukaendelea kuitumikia nchi kwa taaluma yako, maana Kuna maeneo mengi yanayohitaji utatuzi kupitia taaluma yako
  7. U

    Tanzania hakuna chama cha upinzani, tuna wapiga kelele na wakosoaji

    Hizo kelele na ukosoaji ndio upinzani wenyewe na ndio kazi kubwa ya chama Cha upinzani
  8. U

    Nashauri safari za mabasi kutembea saa 24 zisitishwe, vifo vitamaliza watu

    Mtu wa kwanza wa kukali usalama barabarani ni abiria mwenyewe, toa taarifa unapoona ukiukaji wa uendeshaji wa vyombo vya usafiri barabarani, hata iwe mchana.
  9. U

    FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

    Utamkera nani kwa marudio ya matokeo ya Mwaka Jana? Hayo si mageni kwetu
  10. U

    Hata kama viongozi ni wahuni, huku mnakoelekea sio kuzuri

    Pole sana! Kwa kuwa hujaielewa falsafa ya msemaje hajahamasisha hicho unachosema, labda Kama hujui maana ya KEY
  11. U

    Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?

    Kwani hoja zao za zipoje? Tunaweza kuzijibu kwa lengo la kubapance story au kuondoa doubt walizoziibua.
  12. U

    Yanga ni timu ya kawaida sana Ila inakuzwa bila ya sababu

    Mmmhh, ulichokiandika umekielewa mwenyewe. Hamna logic Kati ya kichwa na maelezo.
  13. U

    Ahmed Ally kutetea ugali wako ni sawa lakini uhalisia wa timu yako uwanjani unakuumbua

    Msimu bado mbichi Sana unaweza shauri wapi parekebishwe.
  14. U

    Mume wangu alizaa nje: Nimekuwa na chuki na kusababisha kuchepuka nje ya ndoa

    Unatengeneza majuto na ni suala la muda tu. Ni vema kuangalia ustawi wa wanao Kama bado ni tegemezi lakini si kushindana na mumeo.
  15. U

    Shinyanga: Wazee walalamika kuuawa kwa njama wasipogawa urithi

    Tatizo hili limetengenezwa na wazee wenyewe, kijana akioa kwa tamaduni ya kisukuma anaishi kwa wazazi wake, na inakuwa sehemu ya nguvu kazi yake kwenye Mashamba na mifugo yake. Atatoka kwa mzazi wake baada ya kupewa shamba. Kwa ufupi kijana na familia yake wamekuwa wakiishi katika hali ya...
  16. U

    Kila anayeshabikia mkataba huu hana hata division one ndiyo maana hatuelewani

    Division one na uchambuzi wa Mkataba vinahusiana vipi? Kila anahaki ya kutoa maoni yake kwa namna alivyosoma na kuuelewa Mkataba, mwisho wa siku hoja yenye nguvu itapewa nafasi ya maamuzi.
  17. U

    Shinyanga: Polisi wafanikiwa kuzuia ndoa ya binti aliyefaulu kwenda kidato cha tano

    Furaha yake imekuja baada ya kupata msaada wa kuokolewa kwenye ndoa isiyotokana na ridhaa yake.
  18. U

    NAJUTA SANA: Nilizaa nje ya ndoa, mke wangu haniamini tena. Natamani siku zirudi nyuma

    Tatizo kubwa nalo liona kwako ulikuwa mtekelezaji wa mipango ya familia na si mtengeneza mpango, that why mtengeneza mipango alipo acha kukushirikisha umeshake. Tulia mobilize resources tengeneza mipango ya familia, hutaendelea kujuta.
  19. U

    Shinyanga: Polisi wafanikiwa kuzuia ndoa ya binti aliyefaulu kwenda kidato cha tano

    Safi sana Ni Mila na tamaduni zimemnyima haki na sauti mtoto wa like.
Back
Top Bottom