Recent content by uviko19

  1. U

    Rais Samia: Miji mikubwa ya Tanzania tayari imekumbwa na wimbi la tatu la Covid-19

    Wimbi la tatu tayari lipo vyumbani. Watajwa hapo juu kama kweli bado hawajapata chanjo ya covid19 basi wachukue tahadhari ya juu sana sana sana; covid19 inaweza elekezwa kuwapenda wao zaidi. Wajuzi wa mambo watakuwa wameshanielewa vyema kabisa kabisa. Sababu za upendo huo zipo wazi kabisa...
  2. U

    Kifo cha ghafla cha Mfugale sawa na Prof. Chachage: Kuna viashiria vyote vya kupewa sumu. Serikali ichunguze

    Mimi nimehisia tu (suspect). Serikali ndiyo inatakiwa na inauwezo wa kuchunguza na kuthibitisha
  3. U

    Kifo cha ghafla cha Mfugale sawa na Prof. Chachage: Kuna viashiria vyote vya kupewa sumu. Serikali ichunguze

    Umesikiliza maelezo ya waziri wake? Najua ugonjwa wake uliokuwa unamsumbua muda. Ila kilichotokea muda mfupi kabla ya yeye kufariki kitaalam hakina uhusiano wowote na kupanda au kushuka kwa lile tatizo lake.
  4. U

    Kifo cha ghafla cha Mfugale sawa na Prof. Chachage: Kuna viashiria vyote vya kupewa sumu. Serikali ichunguze

    Habari wana JF. Leo nimefuatilia live wakati Eng. Mfugale anaagwa Dar. Kwa maelezo machache ya familia, idara na wizara ni wazi kabisa Eng. Mfugale alipewa sumu. Wito wangu kwa Serikali ifanye uchunguzi wa kina kwa kutumia vyombo na njia zote. Kwa sababu bado hajazikwa nafasi ya uchunguzi wa...
Back
Top Bottom