Recent content by Utungwi

  1. U

    Miradi ya barabara inayotekelezwa kwa ushirikiano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) ni kama ifuatavyo

    Ikulu ya Chamwino ilijengwa na Nyerere na Chimwaga pia Nyerere
  2. U

    Ombi kwa Rais Samia: Mrudishe Kalemani Wizara ya Nishati

    Kinachokusumbua wewe kila siku ni cheti feki ,kwani ndiye aliyekufanya usisome na utumie vyeti vya watu , amini kilichokupata ni sahihi hata ufanyeje marehemu haumii huko aliko, ila wewe chamoto unakipata ulichostahili.
  3. U

    Bungeni: Luhaga Mpina amtoa jasho Waziri wa Nishati kutokana na tatizo la kukatika umeme

    Mambo ya wizara ya Mifugo yanahusiana vipi na swali la mambo ya umeme ?
  4. U

    Nape na Makamba mjue kujaribu kumshusha thamani Hayati Magufuli, ni sawa na kumfuata mamba kwenye kina kirefu cha maji

    Utakaangwa wewe humuhumu duniani tena ukiona kwa macho yako na ukiupata uchungu na ugumu wa maisha yako, kwa kuombea marehemu ubaya.
  5. U

    Gazeti la Mwananchi limeongopa, Aliyemtishia Nape bastola sio mmoja wa waliokamatwa Mtwara

    Gazeti la majungujungu tu halina ukweli wowote
  6. U

    TPDC yaingia mkataba na Kampuni ya Uingereza ya Baker Botts kwa ajili ya ushauri wa Kisheria

    Tanzania Hires U.S. Law Firm to Advise on $30 Billion LNG Plan Baker Botts to assist nation to conclude LNG project talks Plans for terminal have been under consideration since 2014 By Fumbuka Ng'Wanakilala January 25, 2022, 7:41 PM GMT+3 Tanzania has selected U.S. law firm Baker Botts LLP...
  7. U

    Yanayoendelea wilayani Songwe kwenye ujenzi wa madarasa kutokana na pesa za Covid. Ni hatari tupu pesa zimeliwa

    Huko Songwe kwa majungu pia wanaongoza katika Tanzania pia . Huyu ni muongo kama ni kweli aweke na picha tuone.
  8. U

    Dodoma si Salama, kuna harufu na Mifereji ya damu kuelekea Makao Makuu ya Polisi Dodoma

    Tutajie na wewe kabila lako na sie tuanzie hapo . ACHA UKABILA WEWE
  9. U

    Ningekutana na Rais leo, Nimgemwuliza kwanini amemtoa Mchengerwa Utawala Bora

    Hujui lolote lini Mchengerwa akawa msukuma wewe. Huyu ni Mtu wa Mtwara na hana tabia hizo unazozungumza , jamani tenda wema nenda zako sie tunaumia kuondoka kwake utumishi we acha tu.
  10. U

    Rais Samia anadanganywa sana. Anapanga safu ya mstaafu bila kujua

    Eti Ridwan jamani tumekisha yamerudi yaleyale sijui lini tutakuwa na akili ya kukumbuka yaliyopita , duhhh hatari.
  11. U

    Rais Samia amesahau hili la umeme ni yeye amelileta, tumkumbushe

    Du hatari kabisa , nadhani amesahau kila jambo liko wazi.
  12. U

    Tumewajua waanzilishi wa kelele

    Na picha pia iwekwe
  13. U

    Nani alisema SGR iende Mwanza na sio Kigoma kwanza?

    Hailipi kabisa labda baada ya kuanza uzalisha wa Nickel ndio italipa.
Back
Top Bottom