Gazeti la Mwananchi limeongopa, Aliyemtishia Nape bastola sio mmoja wa waliokamatwa Mtwara

Magazeti yote yameiingizwa chaka habari hii. Toka lini Henry Kisanduku akawa mrakibu wa police
 
Anajulikana wala sio kwamba hajulikani. Mwananchi wamemkosea Gilbert kwa kumfananisha na Henry. Japo Gilbert hili suala la mauaji limemchafua sana ila ni moja ya polisi wazuri, ni mzee mwenye busara zake
Mbona ye na onyango inasemwa walijifanya TRA kwenye mifuko ya wananchi
 
kama shida ni jina na picha lakini ni yuleyule wa dar ni mtwara,then its confirmed ni mtukutu mtu huyu
 
Mkuu heshima kwako.
Amini ya kwamba mwananchi wamekosea, Henry wala hayupo mtwara na hajawahi kuwa SP.
Gilbert ana muda mrefu mtwara kabla hajatoka musoma
nisaidieni yule aliyemtishia nape yupo kwenye watuhumiwa wa mtwara!!??!! tuachane na majina, hata kwenye sensa huwa yanakosewa!!
 
nisaidieni yule aliyemtishia nape yupo kwenye watuhumiwa wa mtwara!!??!! tuachane na majina, hata kwenye sensa huwa yanakosewa!!
Hawafanani

Screenshot_20220128_172154.jpg


Screenshot_20220128_173907.jpg


Screenshot_20220128_172420.jpg
 
Sasa kama huyu Henry kumbe anajulikana kwanini hajashughulikiwa? Au kutishia mtu bastola sio Kosa? Ndio haya haya tunaachia watishiaji watu bastola bila kuwakanya mwisho wa siku wanafanya kweli.

Trigger Happy....
ingekuwa kule kwa wenzetu waliosonga kidogo kwenye domokirasia, tungemlazimisha mheshiwa nape atuambie ukweli. but mhhh!! nape is a big boy now huna cha kumwambia
 
ingekuwa kule kwa wenzetu waliosonga kidogo kwenye domokirasia, tungemlazimisha mheshiwa nape atuambie ukweli. but mhhh!! nape is a big boy now huna cha kumwambia
Kumbuka pia Nape sio malaika kuna mengi kafanya nyuma ya pazia ndio maana vitu kama hivi hawez kuhangaika navyo
 
Gazeti la mwananchi limeandika Aliyemtishia Nape bastola apandishwa kizimbani kwa makosa ya mauaji huko Mtwara.

Hii sio kweli, gazeti hili limeweka picha ya afande Gilbert na kuonyesha ndiye aliyemtishia Nape bastola.

Gilbert Kalanje ni SP wa police(mrakibu), wale wenye mwenge mmoja begani. Henry hajawahi kuwa na cheo hiki.
Aliyemtishia Nape sio huyo aliyeripotiwa na gazeti la mwananchi.

Sijajua kwa nini wamekosea hii taarifa, Henry Kisanduku hana uhusiano wowote na Gilbert Kalanje.

View attachment 2098332
Kwani Jumanne Malangahe Shahidi wa Kesi ya Mchongo ya Freeman si ni SP, Mbona ni Mpuuzi tu na alimbambikia Pembe za Ndovu Yule Mzee Prof Arusha na Kumtoa 100M
Huyo Gilbert 2017 alikuwa SP ?
2017 alikuwa ASP na ndio alimtishia Nape
Hakuna Cha Kisanduku Wala Babaake Henry
 
KAMA Gazeti nilipendalo la Mwananchi, limekoroga kwenye hii stori nani ataliamini tena, nitaliweka Grupu moja na lile la Uhuru la kuchambia karanga.
 
Ukumbuke walikuwa kadhaa katika jaribio la kumdhibiti Nape, ila aliyemtishia bastola ni yule mrefu mnamuita Kisanduku sijui
 
Ata ww unaongopa kisanduku co aliyemtishia nape fanya utafiti achana na kigogo na mambi kimambi kisanduku alikuwa mlinzi wa makonda
 
Form iv point 25 alafu ni luten Wa jeshi, mliopita jkt Na mliopo Jwtz naombeni kuelimishwa hapa maana mm najua afsa kuanzia nyota lazima awe na either form vi, diploma Na kuendelea, sasa huyu Urio ilikuwaje akaingia Na form akapanda mpaka koplo kisha Luten usu na luten kamili.
Labda alikua na d4 akaenda veta kuchukua trade test grade 1 ambayo sawa na NTA levo4 km sijachapia alafu anaenda DIT kuchukua diploma wengine wanaanzaga na access kozi pale DIT.


Na utaratibu huu unaweza fanyika ukiwa ndani ya jeshi au hata kabla ya kuingia jeshin.
 
Back
Top Bottom