Tanzania ni nzuri kama viongoz tunawachagua wangewekeza kwenye miundombinu kwa kuangalia resources zilizop duh tungekuwa mbali kimaendeleo lkn kinyume chake wao wanaiba wanaenda kununua apartment Dubai ama south Africa shame upon them
Pole mkuu hiyo Wala usihangaike sana onana na Hawa wachungaji wawili update huduma ya pastoral care utanishukuru Moja nenda pale kijitonyama Lutheran omba kuonana na Rev.Kimaro ama nenda pale kimara korogwe Lutheran church omba kumuona Rev.Mastahi utanishukuru haya mambo actually ni ya ulimwengu...
hili andiko nililisoma na hapo ndipo naungana na yule bwana aliyesema yawezekana ukawa na vielement vya u prophetic ama ukawa special department nakumbuka mwaka huo 2015 CCM walipokuwa wanafanya vetting ya nan
atakayepew bendera yao ya kupeperusha nilikuwa dodom kuna rafiki yan gu yupo hicho...
Mh huwa anageuka geuka huyu bwana kuna wakati nilikuwa namuelewa sana huyu ninja ila kipindi cha mwenda zake sijui alikula maharage ya wapi kwa kuwa alitubalishia atmosphere
chini ya sheria hakuna mkamilifu hata mmoja ndio maana Yesu alikuja na kwa njia ya yeye tunaishi kwa neema na nguvu ya msamaha kwa imeandikwa usihukumu usije ukahukumiwa na kisasi ni juu ya MUNGU mwenyewe .hiyo post inasikitisha kwa kwel
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.