Recent content by Uthman

  1. U

    JamiiForums Tanzania GE2025 Natabiri CCM Zanzibar kushinda kwa zaidi ya asilimia 90

    Siasa za Unguja zimejificha kwenye historia za muda mrefu kabla ya mapinduzi ya Zanzibar.Jamii inarithishana maudhui yaliyopita.Japo Daktari Mwinyi kafanya ujenzi mkubwa sana wa miundo mbinu ambao haujapata kutokea sio kwa Zanzibar tu bali hata kwa kiasi kikubwa Africa mashariki na kati yote...
  2. U

    JamiiForums Tanzania GE2025 Natabiri CCM Zanzibar kushinda kwa zaidi ya asilimia 90

    Huyu haielewi vizuri Zanzibar.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    kp kipanya44 anasema hawazidi watatu:D:D:p .Heshima kubwa kwako ndugu kp kipanya44, hakika uwepo wako kwenye huu uzi umeupendezesha na kuufanya uwe ni moja katika nyuzi zenye kufuatiliwa kwa wingi na kwa muda mrefu. Wengi walijitahidi kuja na habari zao, ndugu yetu kp aliwapokea na mwisho...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mzee mtarimbo amka ndotoni kumeishakucha.Vita ya NATO na RUSSIA/CHINA ni mwisho wa Dunia yetu tunayoijua.Hawa washenzi wanamiliki manuklia makubwa ambayo hata wakirushiana wenyewe athari zake kwa Dunia bado ni mbaya mno.Hawa watapigana proxy war na sio direct war.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Trump: Achilieni mateka kabla sijaapishwa la sivyo mtabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ya Marekani!"

    VIta ipi unayoizungumzia wewe? Hamas na Wapalestina wote wanapigania kuwa huru kwenye nchi yao iliyoporwa na wakoloni weupe.Netanyahu ni Mpoland asilia,kama walivyo maelfu wa mazionist ambao wengi ni watu wa ulaya wasio na nasaba yeyote ya mashariki ya kati.Hamas kama walivyo wapigania uhuru...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Bulelaa, ukitaka uone uhuni mkubwa zaidi basi CHINA au RUSSIA au INDIA waanzishe ushirikiano wa kijeshi na Mexico,CUBA BAHAMAS au Puerto Rico au hata Venezeula. Kwa taarifa yako kitendo hiki cha ushirikiano wa hizi nchi huru kabisa,bwana USA anakitafsiri kuwa ni tangazo la vita dhidi yake.Kasome...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kwa RUSSIA issue ya Ukraine ni usalama zaidi kuliko chochote kile.Katika mipaka yote huu wa Ukraine ni wakimkakati zaidi kuliko yote.
  8. U

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    FINLAND kajiunga NATO 2023
  9. U

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    FInland hakuwa NATO.,kaomba kujiunga 2023 baad ya ushakunaku wa UK.Ila sasa hivi anajutia maana kikiwaka yeye ndio kawa chambo.RUSSIA hakuwahi kuelekeza makombora ya NUKLIA kwa FINLAND.Hakuwa hostile neighbor kwake.Ila alipoamua tu kujiunga na mashoga,hali yake imebadilika.Kwa sasa kuna...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    RUSSIA anajilinda na NATO ambao wametangaza kuisambaratisha URUSI.Ukitaka kuona kama huu ni uchokozi dhahiri USA wana kitu inaitwa MONROE DOCTRINE hii kitu inasema USA haitakubali taifa lolote kubwa kuweka kambi ya kijeshi au makombora kwa jirani yeyote wa USA.Kwa ufupi kitendo cha kuajribu...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Idiot.The soon ukilaunch attack kwenda RUSSIA detector zitasoma na immediately mvua ya Retaliatory strike zitakuwa hewani zikielekea US kabla hata zao hazijafika.Ndio maana wanasema US na RUSSIA wakipigana ni mutual assured destruction.Kwa sababu yeyote atakaemtarget mwenzie mwanzo,sensor...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Acha uongo.Hakuna ATACAM wala STORM SHADOW nyingine yeyote iliyotumika tena baada ya ile ya majuzi.Athatri za ORISHNIK ni kubwa sana kuliko unavyofikiria,Achana na fake news sitarajii kama UKRAINE atatamani tea lile bomu litumwe kwake.SI umesikia Keith Starmer baada ya lile bomu kajiwahi kwamba...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Uingereza yaichimba mkwara Kremlin

    Umeongea kishabiki sana na umeubadilisha ukweli kukidhi fantasy yako uliyoaminishwa kwamba RUSSIA ni taifa maskini lisilo na uwezo wowote.Kasome vizuri historia ya vita vya pili vya dunia halafu jisahiishe wewe mwenyewe.Hauwezi kuondoa ukweli wa kwamba Soviet Russia walikuwa ni washirika muhimu...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Uingereza yaichimba mkwara Kremlin

    China bado miaka kadhaa kufika level za RUSSIA na USA
  15. U

    JamiiForums Tanzania Uingereza yaichimba mkwara Kremlin

    Military strength haipimwi kwa mtazamo wa idadi ya watu.
Back
Top Bottom