Wanawake wakisafwa kwanza ni wachapa kazi, waoga,warembo, si wacha mungu sana,asilimia kubwa hutumia pombe za asiri hasa dadii, pia ni waaminifu sana na wengi wao huanzia mapenzi kwenye ndoa, shughuri yao kuu ni kilimo cha mahindi ,viazi mviringo na maharage.