mi nasema ni suicide
ukiangalia kwny hiyo meza unaeza ona karatasi,, boxi la sigara,, miwani na peni probably huyo mwanamke alikua akiandika suicide note... ukiangalia position ya peni na karatasi jinsi zilivyokaa vinaeza kutuambia kua huyo dem ni right handend.....ko naeza sema alikua...