Kila nikimsikiliza Tundu Lissu, nashindwa kuamini kama kweli anayosema ni uwezo wake mwenyewe au kuna nguvu gani nyuma yake. Ukiachilia mbali uwezo na ukuu wa Mungu aliyemponya kifo,ukaachilia mbali ujasiri wake,jambo kubwa linalomfanya Lissu akubalike na azidi kupaa kisiasa ni serikali ya CCM...
Huyo OCD siyo kufutwa kazi tu,akamatwe,acharazwe bakola na aswekwe jela hata miaka kumi.Kuendekeza wahuni wachache wafanye uhuni wao kadri watakavyo kama huyo muhuni-OCD uchwara,ni kutafuta machafuko kwa nchi yetu.Hivi huyo mpuuzi alihakikiwa vyeti kweli?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.