Recent content by usungilo

  1. U

    Wanaume ifikie hatua muwe na moyo wa kibinadamu jamani

    Pole sana Pole Sana. Kuna mahali ulijisahau na kujiaminisha. Ukamuonesha udhaifu ambao haukumvutia.
  2. U

    Wanaume ifikie hatua muwe na moyo wa kibinadamu jamani

    Mnachosahau Ni kuwa wanaume Ni polygamist naturally Ni muda tu ndio huwa unatofautiana. Hata hao wanaojifanya wanawapenda wake zao kuliko chochote. Wafuatilie miisho yao. Nyie mnawaza kuwamiliki wanaume Kama chupi. Kwamba ukiwa naye Ni wewe tu! Endeleeni kujisahaulisha.
  3. U

    Mwanamke aliyetayari

    Alikuwa anatania tu huyo mkuu
  4. U

    Mwanamke aliyetayari

    Labda Kama baadhi wataamua kutokuwa na watoto kabisa maishani mwao. Ratio ya 1:1 haipo na haiji kutokea kwa nchi nyingi. Haya mambo hata kwa walizotuletea dini yamewashinda. Ndio maana wameamua kurahisisha talaka. Mnaachana kila mtu anakuwa na mwingine mmoja tu. Lakini katoka kwa mwingine...
  5. U

    Mwanamke aliyetayari

    Ha ha ha. Mkuu singo maza walikuwepo, wapo na wataendelea kuwepo.!! Hamna kipya
  6. U

    Mwanamke aliyetayari

    Tangazo Bado lipo. Nafasi haijapata mtu. Kwa wanaodhani wanaweza kukubaliana karibuni.!!
  7. U

    Mwanamke aliyetayari

    .
  8. U

    Wapendwa, tabia ya kuchovya kila buyu la asali itakugharimu

    Spirits!! Watu mna imagination za ajabu ajabu tu. Acha watu tuendelee kufaidi
  9. U

    Kuna tofauti gani kwa mwanamke anayetaka kuolewa kujitangaza kanisani na mitandaoni?

    Walishachezea ujana wao. Wana watoto waliwapata kwa kuzini na waume za wenzao.
  10. U

    Kuna tofauti gani kwa mwanamke anayetaka kuolewa kujitangaza kanisani na mitandaoni?

    Bahati mbaya wengi unakuta walishazalishwa wakaachwa tena na waume za watu. Na wao wanataka waume zao peke yao. Wanawake wanachokitaka wanajua wao na Mungu wao
  11. U

    Mwanamke aliyetayari

    Mengine yanaweza kupewa suluhu na asiyejulikana
  12. U

    Mwanamke aliyetayari

    Karibu.
  13. U

    Mwanamke aliyetayari

    Yawezekana alikuwa anatania
  14. U

    Mwanamke aliyetayari

    Bado. Naona watu wanataka uwaambie utawaoa kwanza ukishawapa mimba ndio uwakimbie. Ili wakutukane wee!! Kuwa umewaharibu na kuwapotezea muda. Teh!
Back
Top Bottom