Chochote wasemacho
Na kile wakisikiacho
Muhimu ni walionacho
Kiwatiao wengine kicho
Nikija kukiandika jicho
Kiwe ni kile nitakacho
Basi sikiachi hicho
Kwani ndicho kinifurahishacho
Sio tofauti na Kiswahili tulichokizoea ila ni hatua yenye kuzama katika uchanganuzi wa sentensi kama inavyoangaliwa kipindi cha sasa na wasomi wa lugha, yaani wanaisimu. Isimu ikiwa ni sayansi ya lugha.
Ni kweli kwamba sintaksia finyizi imekubalika na wataalam wengi kama nadharia ya ya lugha yenye uwekevu zaidi na bado inaendeleza malengo ya sarufi zalishi. Malengo haya ni kuandaa sarufi bia ya lugha ya mwanadamu pamoja na kutafuta uhusiano na taaluma nyinginezo za lugha kama vile fasihi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.