Recent content by uso wa fedha

  1. U

    Kijana ww saluni

    #Chinamade!Nchi ya China imekuwa mojawapo ya Nchi ambayo imejikita zaidi katika kujenga urafiki wa kibiashara na kiuchumi na Nchi nyingi za bara la Afrika mojawapo ikiwemo Nchi yangu madhubuti ya Tanzania,ambapo Nchi hiyo imekuwa ikijikita zaidi katika kuzalisha bidhaa zinazohitajika sokoni na...
  2. U

    Shiriki shindano la #ChinaMade kujishindia simu ya Huawei au Xiaomi Arm Band

    #ChinaMade!tangu Maendeleo ya kiteknolojia China imekuwa katika mstari wa mbele wa kuzalisha bidhaa zinazoendana na wakati tuliopo kwa bara la Afrika na kwa mahitaji ya wateja wake pia! Hiyo inatokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia katika ulimwengu huu uliojaa kila aina ya ushindani wa...
  3. U

    chumba cha kupanga

    Habari wana jamii forum,chumba kimoja cha kupangisha kinapatikana maeneo ya mission darajani mbagala kiko katika hali nzuri,huduma kama umeme,maji zinapatikana!bei ni tsh30 kwa mwezi kuchangia umeme ni tsh7000 kwa mwezi!kwa uhitaji 0757524428!karibuni sana!be blessed!
  4. U

    chumba!chumba!

    Chumba cha kupanga kinapatikana maeneo ya mission mbagala!ni kizuri kina umeme,na huduma ya maji pia!ni kizuri kwa anayeanza maisha!hatubagui jinsia yeyote unakaribishwa!mawasiliano 0757524428,be blessed!!
Back
Top Bottom